Kama mpo kundi la watu wa tatu kwenda juu na mnataka ticket na sare ya kuhudhuria siku yetu ya kufundwa tarehe 7/12/2012 na mpoa maeneo ya mjini, oysterbay, msasani, morroco, victoria mpaka mwenge nipigieni simu nitakuja kuwaletea sare na kadi zenu kwa kiingilio cha 35,000/= najuwa wengi mpo busy sana na kazi manshindwa kuja mpaka huku shekilango.
No comments:
Post a Comment