Wednesday, October 3, 2012

Umetunzwa nawe tunza mtoto wa mwanamke mwenzio...


Hehe heiya...unaambiwa ukishikwa shikamana upo hapo, haya sasa wanawake siku yenu imefika jamani mapenzi ya siku hizi yamekuwa balaa sio ndani ya ndoa ama mapenzi tu yabila ndoa, unajuwa mwanaume wako anataka nini wewe, kuwa juu kama puvu la bia unaelewa??? haya sasa siku moja ya kufunda wadada wote maswala ya chumbani, kuchuma tunda, kuhusu mwili wako kumpa raha mpenzio na kuufahamu mwili wake zaidi ya kuuona tu, chachandu za kuchuma tunda, nini na maana ya uchomwaji udi yote haya yatakuwepo siku hiyo..makungwi hatari watakuwepo hata ikibidi na kuvua nguo kukuelewesha zaidi jamani kama unajijuwa mtoto usije, kama unaaibu iache mlangoni..kungu nazo zitatawala kwa sana tukiwa tumejifungia kwenye chumba hakuna wanaume, hakuna picha maana ni hekaheka za utu uzima..sehemu itakayofanyika na mengine yote nitawataarifu mara kwa mara.. karibuni wadada wote..

SHUGHULI NI  21/10/2012  kaa mkao wa kula.. 


Vazi la siku hiyo ni dira, mwanamke uvae ujimwaye mwaye maana rusha roho tu ndio zitatawala..hehe heiya chezea supu ya mboga lazima uinywe..


Kiingilio ni shs 30,000 utapata na dira (dira lako ambalo ndio sare yetu ndio ticket yako hakuna ticket), kutakuwa na snacks, uji wa kungu, uji wa nazi,soda na maji kama wewe ni mlevi beba ulevi wako uje kukupa raha..hehe heiya



Karibu wewe, mwambie wifi yako, na shosti wako unaambiwa uzuri wa mwanamke kujiamini..



Naomba mtakaolipa mfanye hima kabla ya tarehe 19/10/2012 ili muwe na madira yenu, malipo ya fanyike kwa tigo pesa 0717 019320, au unipigie tukutane na BBM Pin yangu ni 23A0C2B4



Jamani narudia tena kama wewe mtoto mdogo ya kubwa haya hayakufai, na kama unaaibu iache mlangoni pa nyumbani kwako..huku mlipuko tu

1 comment:

  1. jamani mmeonyesha date lakini venue wapi ili tujipange

    ReplyDelete