Monday, October 1, 2012

Msaada Tutani....


hujambo? asante kwa kunipa huu muda mimi na miaka 30 niko na kilo 80 swali langu ni  kwamba ninapo yanya mapenzi na bibi yangu wakati tuko kwa kitendo mimi huchoka sana na kuhema ilihali bibi hani saidii chochote hata mwishowe hubaki bila kushusha manii. basi kutaka manii yatoke hupiga punyeto .jenifanyeje? ili nitoe shahawa kwa bibi? nihayo tuu wako sammy.

1 comment:

  1. Shukran kwa swali lako, kwanza kabisa nataka nikufahamishe kwamba kwa kilo zako hizo sio kilo nyingi za kukufanya ushindwe kuhimili mzunguko wa kukutana kimwili na mkeo, angalia sana chakula unavyokula kama ni vya mafuta sana na pombe unakunywa sana haya ndio sababu ya wanaume wengi kukosa nguvu katika kufanya tendo la ndoa, halafu penda sana kunywa supu ya kongoro husaidia katika kutunza viungo haswa kwenye magoti unakuwa huumii wala kuchoka, pia kula sana karanga mbichi, korosho na pia tumia mdalasini na asali ukichanganya na maji ya uvuguvugu vitakusaidia sana katika kutoa shahawa kwa mkeo.


    Kitu kikubwa na cha muhimu ondoa mawazo unapokutana na mkeo, kwakuwa umeshagundua tatizo lako unapokuwa unaliwaza mara kwa mara huzidi kukunyima nguvu katika kufanya hilo tendo unakuwa huenjoy na hata kushindwa kumaliza na hakuna kitu kibaya kama kushindwa kumaliza mzunguko kwani hii humsababishia mkeo kuwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara.


    Ahsante

    ReplyDelete