Ndoa ina raha jamani haswa ukijuwa kuishi vyema katika ndoa na ukijuwa kumtunza vyema mwenzi wako katika ndoa jamani wanawake katika ndoa kuna kusingwa unajuwa kumsinga mumeo kama hukufahamu chukuwa hilo..
Unashauriwa mwanamke kutokosa mkeka nyumbani kwako, na kama mnakumbuka kuna wakati niliwashauri wanawake humu jamani ndani kwenu msikose mikeka jamani nawakumbusha tena mikeka inatumikaje.
Mumeo ni vyema kumsinga kwa wiki mara moja ama mara moja kila wiki mbili inategema na muda gani mumeo yupo nyumbani, utamsingaje kusingwa ni kufanyiwa scrub kwa kizungu utafanyaje sasa, weekend moja chukuwa mkeka wako chumbanai weka mto wako pale tayarisha na makorombwezo yote ya kusingia mlaze kijana pale usiache khanga akiwa amevua nguo zote msinge mwili mzima, akiwa amerelax chukuwa wembe wako ama chochote unachotumia kunyolea mnyoe mumeo makwapani na huko kwa babu.
Wanawake katikati ya kumnyoa mumeo ikatokea babu kasimama usimgandamize kisa unataka kummalizia kumnyoa kwanza hapana utamuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio, baba akisimamama mpe bibi yake mpeee weee mpaka atakapotosheka akitosheka malizia ile ya khanga niliyowaambia mwanzo halafu endelea kumnyoa mpaka mwisho na kama mtapenda na yeye akusinge basi rukhsa mkimaliza muinue baba akaoge apendeze muachie anede kwenye mizunguko yake utasikia sifa zako mitaani. Mwanaume haishi kuwa nyororo huwezi kukuta chunusi hata moja ikizagaa ovyoovyo kwake.
No comments:
Post a Comment