Wednesday, September 5, 2012

Nilonge Nisingole....

Hehe heiya chezea mji huu..jamani katika kufundwa kwetu kwa hii tumefundishwa jambo moja ambalo najuwa nitatizo kwa wanawake wengi na wanawake wengine huwa wawazi ili kusaidiwa lakini wengine wanadhani ni aibu kuliongelea kwahiyo hukaa nalo kimya na mara nyingi kuleta matatizo katika ndoa zao.

Kutanuka ukeni hili ni jambo linalowasumbuwa wanawake wengi sana na wengi mwanzoni huwa hawakuwa hivi ni mpaka baadaye na wengi husema wame zao hawaoni raha ya kuchuma nao tunda sasa basi ukiacha ile tiba ya kuvuta uke ndani na kuachia kwa dakika kadhaa tiba nyengine ambayo najuwa itawafaa wengi na wengi wataiona ni ya afdhali ni kunywa MADAFU..eennhh ndio hiyo pia ni dawa ya kusaidia uke kujifunga na kurudi size yake ya mwanzo. chezeya mtoto kama kigoli hehe heiya 

Kuwa na hulka ya kunywa maji ya madafu itasaidia sana na wengi wameshafanya na tiba wamepata sasa hivi mambo ng'aring'ari..haya kazi kwako weye sasa

1 comment: