Thursday, August 16, 2012

Kuna dada mmoja akiwa anagombana na mumewe, lazima majirani wazime redio kusikiliza mitusi , maneno machafu dhidi ya mumewe na hata siri nyingine nzito za ndani ya nyumba. Wanandoa tuwe wastaarabu na wenye busara hata inapotokea tukakwaruzana.

No comments:

Post a Comment