Tuesday, July 10, 2012

Umepewa Lift Unataka Upige na Honi...

 Jamani taarabu hii iwaendee wale wote wasiopenda maendeleo ya watu haswa wasio penda kuona watu walioana wakipendana, mtu mzima unatoa maneno ya umbea huku na kupeleka kule basi tu uwakereheshe wasikae kwa amani kutwa wagombane upate la kuongea mtaani..Inahusu


Nguruwe pita, sina mkuki miye,  wewe haramu kwangu sijakuzaa miye..

 lako hilo joto hupati baridi maisha

No comments:

Post a Comment