Monday, July 16, 2012

Msaada Tutani..

Kuna mtu amenitumia mail anaomba aelekezwe tarehe za mwanamke kupata mimba baada ya hedhi, kwa wanaolifahamu hili please naomba mumsaidie.

Kwa ninachoweza kumshauri mimi wanatakiwa kuchuma tunda kila baada ya siku moja ama mbili ili kuruhusu mbegu zengine zikomae, sio mtu unachuma tunda kila siku jamani heee..hata kama ndio usongo jamani haitaingia hivi.

Pia pendelea sana kula karanga mbichi, korosho, kunywa supu ya pweza, kongoro hivi husaidia sana takita kuchuma tunda.

1 comment:

  1. kwa ufahamu wangu nimewai kusoma kuwa mimba mara nyingi hutunga siku ya 14 baada ya hedhi na kutokana na kuwai au kuchelewa kupevuka kwa ai la kike mimba inawza kuingia siku ya 13 au 15 na yai lakike likaa hai kwa muda wa masaa 36 hufa na kusubiri kuvunjika baaada ya siku 14 ambapohedhi uanzaaa na mbigu za kiume ndan kwa mwanamke zinakaa kwa siku tatu ndo zinakufaaaaaa kwahyo kufanya mapenzi siku ya 11 hadi ya 17 kuna uwezekano mkubwa wa mimba kutnga

    ReplyDelete