Tuesday, July 31, 2012

Kuna ulazima wowote wa wanawake kubadili majina yao baada ya kuolewa na kutumia majina ya waume zao badala ya baba zao? Kama kuna ulazima ni upi? Na kwa nini siku hizi watu hawabadili majina kama zamani?

No comments:

Post a Comment