Wednesday, May 2, 2012

Maji Maji na Ukavu wake...

Kuna mkaka ameniandikia mail lakini nimeshindwa kuileta hapa directly maana kwajinsi alivyouliza kuna maneno ametumia hapa siyo mazuri maana watu wa humu kwa maneno naweza nikaileta hapa nikatumiwa comments mimi mwenyewe nikajuta anyways kwa nianzuri nitamfafanulia jamaa anauliza kuhusu kwanini wanawake wengine wanakuwa na majimaji mengi ukeni na wengine ni wakavu sana.

Kwanza kabisa kama ulivyosema na utambue kuna wanawake wa aina mbili huyu mwenye majimaji katika kuchuma tunda mwanamke wa aina hii mwili na fikra zake hujiandaa haraka katika kupokea hilo tukio kwahiyo mwili wako ukigusana na wake kwa mahaba basi anajikuta kwamba anakuwa tayari mwenye hamu ya kukupa tunda bila misukosuko na sio kwamba mwanamke mwenye maji mengi chini ni malaya kama wanaume wengi wanavyowaita ni mfumo tu wa mwili wake.

Mwanamke mkavu kwanza utakubaliana na mimi shughuli yake mpaka apate hayo majimaji ili uingie bila kumuuzia sio ndogo na huchukuwa muda mwingi mpaka umuandae na yeye aweke fikra zake katika lile tendo mpaka alainike.

Kwahiyo hayo sio matatizo ni jambo tu la kawaida na nivizuri kwanza ukamjuwa na kumsoma mwenzio kwenye hilo jambo na ukajuwa jinsi ya kumuandaa na siku hizi sio kama zamani kutaka kuonyeshana ufundi kama unaona ni mkavu na mbinu zako zote unazojuwa fanya hazijamloesha basi muulize ni sehemu gani akutajie sio ujifanye fundi ukaja kuchoka ukashindwa kuendelea kumpa raha mwenzio.

Jamani kwa mnaoelewa zaidi kuhusu haya mambo basi mtamfafanulia zaidi..

2 comments:

  1. unayosema ni kweli, na hayana ufafanuzi mwingine.

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa wala ayana ufafanuzi zaidi ni mtu tu aahitajikamkumsoma mweznie nni anataka

    ReplyDelete