Dada
Rose, habari ya kazi! Hebu naomba niwekee hii shida yangu katika mtandao wako.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 natafuta mpenzi wa kike asiyezidi umri
wa miaka 45 ili kuweza kusaidiana katika swala zima la mapenzi.Naomba nieleweke
natafuta mpenzi na si vinginevyo. Naomba huyo atakayejitokeza angalau awe na
muonekano wa kuridhisha hata kuweza kutoka naye outings! Aliye tayari anicheki
kwa abdallah.issah@rocketmail.com
na awe tayari kupima afya, mambo mengine yatafuata baadaye.
0 comments:
Post a Comment