Friday, January 20, 2012

ZINGATIA HILI LABDA HUKULIFAHAMU...

Tatizo la kutopata watoto kwenye ndoa ni la kuumiza sana moyo na hata muonekano wako haswa pale marafiki na ndugu wakianza kukuzungumzia vibaya kwa kukosa kuwa na mbegu za kumjaza mkeo mimba ama kwa wewe mama kutoyajuwa maumivu na karaha kwa utamu wa mimba.

Watu wengi wameshaitwa matasa, na ndoa nyengine kuvunjika kisa mume ama ndugu zake kumshtaki mkewe kwamba hazai na kwenda kutafuta mwengine akiamini ndio atakaye mzalia. Lakini je unafahamu matatizo kwa nini mkeo hashiki mimba???

Tatizo kubwa ambalo watu hawalijui ni kwamba watu hawajui style za kulala ili mimba iingie, wewe kwavile unajuwa kuingia na kutoka na kutoa shahawa unahisi hapo ndio baasi..mmhhh hapana leo nitakupa style ambazo kwa wepesi lazima mimba itaingia.

Kuna style mbili kuu ambazo zinafahamika na ukizitumia vizuri basi lazima utapata mimba, style ya kwanza ni kifo cha mende kama wanavyoita, hapa utalalaje tunajuwa kama ni mwanamke kuwa chini na mwanaume juu lakini hio tuu haitoshi wakati wa hilo tendo chukua mto wako weka chini ya mapaja kwanyuma ili upate kuinuka kidogo shahawa zipate fika mbali halafu wewe baba unaposikia unataka kufikia kilele mkamate mkeo kwakiuno bila kumtoa kwenye mto halafu uzimwage na usiwe na haraka ya kutoka kaa hata sekunde kumi mpaka kuminatano ili uziruhusu zifike mbali..

Style ya pili inaitwa doggy style hii najuwa mnaijuwa ila kwa wale wageni wa haya mambo ni wewe kupiga magoti na kusimamia mikono, hii pia huruhusu shahawa kwenda umbali mrefu, hapa kuna kitu nataka uongeze manapokuwa kwenye hii style na wewe mwanaume upo tayari sasa kutoka mkandamize mkeo sehemu ya kiuno kitarudi chini na kufanya sehemu ya nyuma kuwa juu ukiwa umemshikilia hivyohivyo uzitoe shahawa na kusubiri sekunde kumi mpaka kumi na tano.

Lakini kumbukeni wakati unatafuta mtoto usiwe na mawazo kwani mawazo pia huchochea mimba isishike...

Kama wewe unatafuta nakutakia kila la kheri katika safari hii na usife moyo fanya penzi kwa raha zako na upendo tele kwa mumeo/mkeo na MUNGU atawabariki.



1 comments:

  1. Hi Rosemary!
    mm bado nina utata na issue ya shanga, nimesikia wandengereko ni wataalam wa hiyo kitu, naomba ajitokeze mmoja atupe wenzie ujuzi au wewe dada rose tufanyie utafiti utupe majibu mazuri.

    ReplyDelete