Sunday, February 27, 2011

WAKINA BABA NIWIENI RADHI JAMANI SIO KOSA LANGU.....

kwanza kabisa kuna comment moja najuwa kabisa itakuwa ni mwanume ameituma anasema kwamba mimi mada zangu nyingi nawatetea kina mama na kuwakandia kina baba...

jamani kina baba mimi nawapenda kama ninavyowapenda kina mama tatizo nikwamba mmezidi kutupa matatizo mengi sana kwenye nyumba na ndio maana mnaona mambo humu mengi yanahusu nyie kuwafanyia wake zenu, hawa ni wake zenu wanaonitumia hizi mada bado sijapata mada nyingi kutoka kwa kina baba wakilalamikia wake zao......

1 comment:

  1. Ukweli ni kuwa wababa wengi pengine si walalamikaji kwenye blogs, au wako busy lakini ukweli wanawake wengi hawajui kuishi na waume, hata inashangaza kitchen party ni za nini, zimekuwa chicken party.
    Hata wanaume wanaokwenda nje ya ndoa wengi ni kwa vile wanashindwa kuvumilia vituko vya ndani, wanawake hawajali hisia zetu wamejaa ubeijing wa bandia wakati wenzao wa nyumba ndogo wanajua kujituma kitandani , wanaheshima ingawa ya bandia n. badilikeni wamama.

    ReplyDelete