wanawake katika kila mwanaume wa maana mwenye ndoa yake basi juwa kuna mwanamke jasiri pamoja naye amabaye ni mke wake, japo hawa wanaume hutembea wakijiona wao ndio wao wamevaa wamependeza, wanakazi nzuri, na wanaendesha magari mazuri wakijiona kwamba wakitaka mwanamke yeyote kwasababu tu ya muonekano wao kila mwanamke atamkubali....
wakati anajuwa kabisa hata akishakubaliwa akiwa na huyo mwanamke pindi atakapokuwa anasifiwa unamwili mzuri anajuwa kabisa hii ni kazi ya mke wangu japo yeye anaweza kujisifia nakula vizuri na kufanya mazoezi (nyooooooo) si useme mke wangu ananitunza kama kweli wewe kidume..
atakapovua nguo wakiwa chobingo mwanamke akiona zile nguo tu mumeo alizovaa akapendeza moyo unamuenda kasi kumuona kijina anapiga pamba asijue kijana hatoki nyumbani bila kusifiwa na mke wake kama amependeza ama avae kitu gani, akija kwenye nguo ya ndani mwanaume bila aibu anavua kabisa nguo yake ya ndani nyeupe yenye kumeremeta kwa ujasiri akiwa tayari kutoa mzigo na yule dada anamuona kijana sindio huyu anavaa mpaka hizi nyeupe na nisafi sana shenzi ungejuwa mke wake anazifua kwa mkono na virutubisho kibao (sabuni ya unga, jik, dettol) shenzi utadhani ukipewa jukumu wewe utaliweza...
na ikija kwenye kupewa mzigo jamaa atakusifia ili atoke mapema basi wewe unajiona wa maana umempita mpaka mkewe ndio maana anakusifia usijuwe kwa mke wake anatoaga machozi huyo akikatikiwa kiuno.... (wakati wa mimba ama bila mimba kiuno kinakatwa wewe je usikute hata hapo tu bila mimba humkuti mkewe hata ukimkimbiza usiku na mchana) usitake mashindano wakati wewe bado hata juwa hujaliona...
wanawake hata kama maudhi ni mengi sana kwenye ndoa hamna kumuacha mumeo wala watoto, mlizaa wote na wote mtawatunza mpaka mwisho...
tutapigana, kutukanana, kuchanana, tutavunjana miguu lakini ndoa yangu siiachi, na mume huyo kila siku watazidi kumtamani...
mwanamke kuwa jasiri, hivyo vitumpure vya pembeni visikusumbue wala kukunyima raha na amani kwenye ndoa....
Message delivered, umenikuna mpenzi mpaka kwenye maini, kwa kweli ni kukomaa hatoki mtu na wala haingii mtu ni kukomaa isitoshe Hakuna mwanaume wa peke yako chini ya jua, atazunguka mchana usiku atarudi kulala. Rose umenikumbusha Dada mmoja huku kwetu Mtwara alikuwa ananiambia, Somo asikkwambie Mtu inanoga kulala na Mumeo asubuhi mnaamka wote, cyo unaanza. kuchungulia vichochoro atatokea mpenyo gani. Hilo nalo neno.by Mdau Mtwara
ReplyDeleteweraaaaaaaaa weraaaaaaaaa hili nalo neo, ndo maana wazungu wanasema behind every succesful man is a woman,huyo woman atakua mkewe, haya wewe ulomkuta bar cjui wapi huko kashapendeza mwanaume wa watu akakuita apate shimo la kumwaga shahawa zake, sa hivi unajiona we ndo wewe unajitapa kwa mashoga zako eti mkewe kamkimbia yuko na mie sasa, na nnataka kumuona huyo mkewe anijue mie ndo kiboko yake nnae mumewe, loooh huoni haya wewe eti unataka kumjua mkewe, usije umbuka tu ukimjua maana ni wa maana kukuliko mpaaka ukamuona mumewe wa maana, na utabakia kumtizama kwa mbali tu na kimya kimya karibu humsogelei, maana u cant reach her level, we bakia tu kua shimo la kumwaga shahawa baada ya hapo huyooooooo anarudi kwa one and only mkewe anaempendezesha na kumfanya ang'are humu mjini, oooh it feels good to be a wife asikwambie mtu, usione ndo maana watu hawaachiki kirahisi...
ReplyDeletetumtum
Sitohi bila ya ela tamtam. Good message. Asikwambie mtu ukiwa kimada ni kimada tu. Ooh ananipenda sana. My foot. Angekupenda angerudi nyumbani kumkumbatia mkewe usiku kucha akuache wewe wakumbatia mto? Angekupenda angetembe na wewe mafichoni? Angekupenda angekwambia usiwe unanipigia simu mpaka nianze mimi wife asitugundua? Wewe ni mwizi tu na ao wame zetu ni kama watoto wanapenda kula kwa jirani sometimes but doesn't mean mama hajuhi pika. That is why wala maharage kwa jirani huku home kumepikwa pilau. Big up wenye ndoa na hao wame zetu tusiwahache kwani hao manungaembe midenda inawatoka kama fisi akisubili uangushe mfupa adake. Alooo. watajibeba mwaka huu. Labda na wao waanzishe blogu ya vimada wapeane moyo
ReplyDeletejamani ila wanaume wanamauhdi hadi kero mimi ndio alikuwa ananiletea mwanamke anamlala chumbani tena kitandani kwangu kipindi hicho nina mtotot ana miezi 4 hana haya anawasiliana naye kwa simu any time atakjapo hadi anamwambia aah mke wangu ananyonyesha sasa shughuli kwa binti kunitukana matusi ya nguoni,kebehi ,dharau aah mimi hata simtaki aende zake yaani amenichefua hadi naona wanaume wote uchafu tu
ReplyDelete