Tuesday, September 14, 2010

FACEBOOK ACCOUNT....

kuna watu wameniuliza natumia jina gani kwenye facebook ili waweze kutuma mail zao na hoja zao, ukiingia kwenye face book utanikuta kwa jina la ROSEMARY MIZIZI please kama unataka mada yako kuchangiwa basi unaweza kutuma kupitia facebook account yangu na tutaiweka hewani..
kumbuka humu ni kuelimishana na sio kutukanana kwasababu ukitaka mashindano ya matusi mii ni juu yako tafuta wa size yako..

1 comment:

  1. hahahaha umeniacha hoi ya hio wee ni juu yao, u r smething else rose....
    fatma

    ReplyDelete