Tuesday, September 28, 2010

DADA YAKO HALAFU UNAMVULIA NGUO INAHUSU JAMANI..

kweli dunia imeisha jamani hivi kweli hamna tena aibu ya undugu duniani? kweli siku za mwisho zimefika hivi inakuwaje dada na kaka kuvuliana nguo na kupeana chakula cha usiku? jamani mimi nilivyoadithiwa na shoga yangu haya mambo nilichanganyikiwa na ushauri nikashindwa kumpa kwasababu sijui la kumwambia mume wake kulala na dada yake wa kuzaliwa tumbo moja (yani wifi wa rafiki yangu) kama sio laana nini nini?

nimemwambia nitaweka humu labda nyie rafiki zangu wengine mnaweza kumpa ushauri maana hata la kuongea naye sina jamani..

No comments:

Post a Comment