Monday, July 5, 2010

HIV NA DIET........

kuna mwenzetu jamani anaswali anasema yeye hajapima lakini anahisi ana HIV sababu za kuhisi hivyo hajaziweka wazi ila anachosema yeye ni kwamba ana mwili mkubwa sana (mnene) na hapendi huo mwili anataka kufanya diet ili apungue anachouliza yeye ni kwamba je kunamadhara ya yeye kutaka kufanya diet akiwa ni mgonjwa?

1 comment:

  1. huyo mtu hakapime kwanza ili hajue kama positive or negative,huo ugonjwa wenyewe bila tiba ni diet tosha.

    ReplyDelete