kuna mchungaji mmoja ambaye napenda sana kumsikiliza akiiburi na mara nyingi huwa anaubiri kwenye TV, juzi alituhadithia kisa kimoja ambacho kimetokea kwenye familia moja nami nikasema lazima nitaiweka hapa nanyi mpate kujuwa..
kuna baba mmoja ameoa na anamtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitano wanakaa pamoja na house girl wao, kama tunavyojuwa sisi watoto wa uswazi ukiwa na umri wa miaka mitano unakuwa unaelewa mambo mengi sana na ndio maana wazazi hushauriwa watoto wao wa umri huo kutolala nao chumba kimoja..
sasa yule baba yeye akisafiri mkewe humpigia simu na kumueleza jinsi gani anavyomkumbuka na kwamba hapati usingizi kwani hawezi kulala bila yeye mume wake, na hapo mumewe hujisikia vizuri na kumbembeleza mkewe alale, wataongea kimahaba na kulala huyu mama huwa na mtindo wa kumchukua mtoto wake na kulala nae pindi mume wake akiwa safari
kumbe baba mama akiwa hayupo huwa anamchukuwa house girl na kulala naye sasa siku moja wakiwa wameketi muda wachakula yule baba akaanza kumtania kewe kwa jinsi gani alivyokuwa muoga kulala peke yake pindi yeye baba akiwa amesafiri..
yule mtoto akamwambia baba yake "unamcheka mama muoga ukiwa umesafiri ananichukuwa mimi nikalale naye mbona yeye hakusemi wakati mama akisafiri wewe humchukuwa dada (house girl) na kulala naye!"hehehehe
duuuhhh baba akaumbuka....

No comments:
Post a Comment