Friday, June 25, 2010

MAKELELE YAKE HUNIKOSESHA RAHA........

mwanaume wangu anapokuwa anafika kilele huwa anapiga sana kelele uuuiiii ohhhhhhh weeeeeee jamani kelele ambazo badala ziwe za kusisimua zinakuwa za kukerehesha, maana yeye hufika kilele mapema kuliko mimi kwahiyo pale ninapojitahidi kufika na yeye akiwa ameanza na hayo mayowe yake nashindwa kabisa kufika.....
najuwa kama ukifika kilele kuna watu wengine huwa kuna maneno wanaongea lakini ni yale ya kufurahisha na kuzidi kukusisimua, lakini sio anayoyafanya mwanaume wangu ya ajabu mpaka unaweza kudhani mtu anapigwa kumbe anapata raha......
kuna njia ambayo naweza kumfundisha ili achane na hayo makelele yake ya ajabu?

MWANAIDI

1 comment:

  1. nadhani nima umbile ya mtu kwahiyo usijali,ila tu lamuhimu muhimize awe akiongea tuu,,, kwani kunawengi walio natabia kama hizi hasa hapa kenya lakini huwa niwale ambao hawaja tahiri,ndio hu hisi uchungu wakati huo wa shuhuli

    ReplyDelete