Wednesday, June 23, 2010

LIMBWATA....

jamani ni kweli limbwata ni dawa ya kumfanya mtu akupende zaidi? na kama sio hivyo hili neno la limbwata ni nini? maana tumesikia mengi oohh mtu huyu anampenda sana mwanamke wake lazima atakuwa kapewa limbwata maana hasiki haelewi hili limbwata ni nini haswa?

No comments:

Post a Comment