▼
Monday, May 24, 2010
WANAWAKE HUPENDA NINI KWA WANAUME.......
wanawake hupenda vitu mbalimbali toka kwa wanaume je wewe ukiwa kama mwanamke unajua unapendelea mwanaume wako ama mwanaume unayemtaka awe na vigezo gani? iliwahoji wanawake na haya ndio wanayoyapenda......
Zaituni: anasema yeye anapenda mwanaume kama alivyo bila kuongeza wala kutoa chochote pindi wanapokutanakwa mara ya kwanza.
Mary: yeye anapenda mwiko wa mwanaume kama mfupi, mrefu ilimradi tu unakoroga chakula na kukipika vizuri mpaka kuiva.
Fatma: anasema yeye anapenda mwanaume mzuri tu akikuona humvutii hatakama mtoto wamfalme huna chako kwake.
Teddy: anasema anapenda mwanaume anayejua alamba style, sio wewe unataka kuchovya tu, kuweka vidole utadhani unaonja supu.
Rhoda: yeye anapenda mwanaume anayejua kujiheshimu na kumuheshimu yeye kama mwanamke wake.
Mwani: anapenda mwanya, na kitambi haswa vya mpenzi wake vinamuacha hoi jamani.
Irene: yeye anapenda mwanaume wake anavyokuwa nae pindi wanapo kuwa faragha, jinsi anavyo tulia na mwenye mapenzi tele sio mpo wawili halafu mwanaume unajifanya too much to do.
Rosemary Mizizi: kwakweli hamna kitu ninachokipenda kwa wanaume kama kiuno, jamani uwe mfupi, mrefu uwe mshamba ama wa mjini ujue kuvaa ama hujui kiuno mimi ndio ugonjwa wangu mkubwa..
Hahaha wanawake bwana. Haya kazi kwenu FK.
ReplyDeletemmm.....?ww dada kwa kweli hii topic yako wanawake anapenda nini? kwanaume imenikosha sana kwani hata sisi wanaume tuna vitu tunavyo vipenda kutoka kwa wanawake je? wewe bado ujavigundua. big up kwakuelimisha watu kuhusu mausiano.
ReplyDeletesasa bibie rose unasema unapenda kiuno kwa mwanaume,sasa kila mwanaume ana kiuno.embu tueleweshe kiuno gani wapendacho wewe?kiweje?cha kivipi?tafadhali.ne je email yako mbona hujaweka tutume post..
ReplyDelete