Wednesday, May 26, 2010

UBUNIFU JAMANI MHHHHHHHHHH........

sisi kama binadamu lazima tuwe wa bunifu katika nyumba zetu, katika usafi, upambaji, rangi, hata mapishi na sio hivyo tu ubunifu hata chumbani ndugu yangu..

tatizo kubwa ambalo nimetokea kushuhudia na kusikia watu wengi sana wakisema katika ubunifu wa chumbani ni kwamba wanawake wanapo buni style mbalimbali za kitandani wapenzi wao hudhania ya kwamba wametoka nje iwaje ujue kitu hichi ambacho hujawahi kufanya.

ndio maana hata kwenye topic ya mapenzi bafuni niliongelea ya kwamba mapenzi yanaweza kufanyiwa sehemu yeyote sio tu kitandani, kuna jikoni, sebleni, kwenye gari, kwenye lift yani nikianza kutaja sehemu hapa sitamaliza kuandika,

mapenzi jamani ili yazidi kunoga lazima tuwe wa bunifu sio kila siku umelala wewe tu chini, jamani yani mpaka inachosha kunakuwa hamna raha lakini leo ikiwa hivi, halafu vile, halafu huku hata kama mwenza wako anakuwa hana hamu pale unapo mpa chejo jipya lazima apate msisimko wa kutaka tena na tena..

kwahiyo tujifunze kubuni jamani penzi nikitu Mungu alikileta duniani tu enjoy kufanya sasa wewe usifanye iwe adhabu kwa mwenzako, tulia upewe mambo wewe (hehehehehehehe)

1 comment:

  1. sawa shosti nimekuelewa ni kweli ubunifu unatakiwa ila sasa inatakiwa na mazingira unayoishi, sasa MTU unakaa nyumba ya kupanga tena yenye watu wengi haya huko bafuni sijui jikoni utafanya saa ngapi, na usafiri wako ni daladala jamani yaani tabu tupu.
    Lakini bwana mapenzi kweli yataka nafasi shuti ujimwage.

    ReplyDelete