Tuesday, May 25, 2010

RAHA YA MECHI BAO?

jamani leonimesikia wanaume fulani wanaongelea swala la mapenzi wanasea eti raha ya mechi ni bao, kweli nimeamini wanaume wanamatatizo wewe kama bao ndio la muhimu basi mechi huijui.... raha ya mechi kufika babu lakini cha kushangaza wanaume wengi wanafikia bao lakini kufika kilele hawafiki....

mechi sio kutoka na kuingia na kuelekea upande huu na ule, kijana unaweza kumfikisha huyo dada bao linapigwa na wengi hata mbwa ana bao kufika unafika?????????????

ndio hapo wasaidizi waliokaa bench wanaanza kuingia uwanjani...

poleni wanaume kama nawaonea lakini ukweli wengi wenu mnajua kuingia na kutoka tuhalafu mnajisifu mnajua mechi wakati kumfikisha mwanamke kilele hamuwezi, labda mpaka mfanye alamba.....

raha ya mechi kilele babu sio bao..

1 comment:

  1. Sidhani kama unajua/kuelewa maana ya bao na Mtu Mume au Mtu Mke anaposema raha ya Mechi bao unaelewa pia. Bao hapa inamaan awewe na mimi sote tufikie mshindo na Kilele kina kuja pale unapofikia mshindo maana ndo raha isiyo kifani inapowadia. Iwapo kama mtu Mume au Mtu mke hatapata mshindo hawezi kufikia kilele japo nono Kilele hutumika zaidi kwa Mtu Mke.

    Pia narudia tena usipokuwa muwazi kwa mwenza wako na kujiachia huwezi kufikia kilele hichounachosema. Nilazima uwe muwazi na uzungumze na mwenzio wakati wote kuwa wapi pazuri kuna upenyo apite afunge bao.

    Ndio maana kocha akisha ifundisha timu yake vyema hata siku ya mechi atasisima ana kuzungumza na wachezaji kuwa wafanye nini waweze kushinda na mara nyingine Kipa ghuzungumza na wenzake washinde na wazuie magoli upande wao, sas Mtu mume nawe uwe kama Kipa wakati mtu Mke anakuwa kama Kocha.

    Zungumza na wachezaji wako ili usifungwe kufungwa kwako ni kufikia mshindo kabla ya mtu mke.

    Mtu mume ukiweza kujizuia sawasawa katu mke hawezi toka analalamika kuwa umeshinda wewe yeye hajashinda. Unanipata hapo, huyu nasema kuingia na kutoka lakini inawezekana ukiacha tu hapo ilipo na akapiga kelwele kuwa unajifunga mwenyewe hata mara tatu kisha nawe ukapata mwanya wa kufunga goli lako hata kwa kichwa.

    Alamsiki.
    Niite Doctor-FK.

    ReplyDelete