tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post8866223478664205203..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: LAANA HII TUTAIBEBAJE?ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-34093781470322408912012-01-08T13:41:03.533-08:002012-01-08T13:41:03.533-08:00Kaka kuna taratibu za kufuata, kama unahitaji msaa...Kaka kuna taratibu za kufuata, kama unahitaji msaada zaidi, nitumie namba yako kwenye isaac_mwaipopo@yahoo.com then ntakujulisha namba yangu nikupe ushauri wa kisheria kwani kwa taaluma mimi ni mwanasheria, lakini kwa ufupi kama Baba hakuacha wosia kwa maandishi itabidi kikao kikae cha wanandugu kimchague msimamizi wa mirathi, then muende mahakamani (MAHAKAMA YA MWANZO) iamthibitisha au kumbatilisha msimamizi wa mirathi then kama kuna mtu anapingamizi anapeleka mahakamani kupinga kuteuliwa kwake, kwa ufupi kuna process ndefu na hamuwezi kupoteza haki zenu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-14453770869718753592012-01-06T13:00:38.220-08:002012-01-06T13:00:38.220-08:00Jambo la kwanza nendeni huko mahakamani mkasikiliz...Jambo la kwanza nendeni huko mahakamani mkasikilize kafungua kesi ya nini. Kama kafungua kesi ya mirathi basi wekeni pingamizi kuzuia asiwe msimamizi wa mirathi kwani hataweza kutenda haki, na pili lazima kuwepo kikao cha wanandugu kuchagua msimamizi wa mirathi. Na nyie mtasema kuwa hakuna muhtasari wa kikao (anaweza kuwa kafoji au kahonga huko mahakani muhtasari wa kikao) ambao una signature zenu kumchagua yeye kama msimamizi wa mirathi. <br /><br />Na kama ni kesi nyingine tu ya kipuuzi kaifungua mahakama ya mwanzo (huwa hakunaga haki mahakama za mwanzo ni pesa tu zinatembea) nyie nendeni kwa wakili na summons (samansi) yenu mliyoletewa mumuombe awe wakili wenu. Yeye atawapa barua ya kuipeleka mahakamani siku ya kesi, kisha hakimu wa mahakama ya mwanzo atashindwa kuendelea na hiyo kesi atamuamuru dada yenu akafungue kesi yake mahakama ya wilaya (angalau huko kuna nafuu na haki yenu mnaweza kupata) kwa hiyo hatasikiliza wala kutoa uamuzi kuhusu shauri lenu maana mawakili hawaruhusiwi hata kukanyaga mahakama za mwanzo. <br /><br />Na kama hajafungua mirathi, fungueni kesi ya mirathi na kugawa mgawanyo wa mali, na mahakama ndio itaamua kama ana haki au la. Na mtagawana kila kitu including hiyo nyumba. Hata sie mdogo wetu wa tumbo moja alitusumbua sana kwenye mirathi tulimuweka kama msimamizi akageuza kila kitu mali yake, tukamtoa kuwa msimamizi huko huko mahakamani.Anonymousnoreply@blogger.com