tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post8619827596567284836..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: NI MKE, NI DADA WA KAZI..ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-28318422020852014952011-11-17T06:13:11.127-08:002011-11-17T06:13:11.127-08:00Pole sana, kuna njia nyingi za kutatua matatizo ya...Pole sana, kuna njia nyingi za kutatua matatizo ya ndoa..kwa upande wangu naona hivi, kama inawezekana nenda kawaeleze wazazi au ndugu wa mwanaume wale ambao unaona wanaweza wakakaa chini na kuongea na mtoto wao. Ikishindikana unaweza nenda kuongea na viongozi wa dini ili upate ushauri wa kiroho. Mamii kuvunja ndoa si kutatua tatizo..ndoa ni uvumilivu na katika hili lazima uwe na PhD ya uvumilivu...wenzetu wanasema hivi.."LOVE IS NOT A PLACE TO COME AND GO AS WE PLEASE"..Na pia watu wengi hupiga goti kupata wachumba na pindi wanapofanikiwa husahau kabisa kumshirikisha Mungu katika maisha yao hasa baada ya ndoa..Sasa basi ningependa kukushauri uanze kumuomba Mungu wako...Yeye husikiliza sala za kila mtu na wala habagui..Usikate tamaa kwani hivi ni kama vijimambo tu...Mungu akatungulie katika kipindi hiki kigumuAnonymousnoreply@blogger.com