tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post7494054391013584111..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on TUONGEEMAHUSIANO: ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-2842008283884631602012-01-29T08:09:28.673-08:002012-01-29T08:09:28.673-08:00nyiemnaomlaumu huyu mama pia mna makosa, ukishaing...nyiemnaomlaumu huyu mama pia mna makosa, ukishaingia kwenye situation kama hiyo ndio utajua reaction inakuwaje. Mwingne angeweza hata kuua mumewe na huyo hawara yake. Pole sana omba Mungu na atakusaidia kuilinda ndoa yakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-18305397344872952892011-12-29T22:25:01.939-08:002011-12-29T22:25:01.939-08:00ama kweli shetani ni shetan tu yaan uhuru ulomuach...ama kweli shetani ni shetan tu yaan uhuru ulomuachia mumeo baada ya kusafiri shetanikaingilia kati kaivuruga nyumba kafanya kila anachojua house gal kabeba mimba,aisee dada hata kama ikatokea hivo unatakiwa kusimama katika maombi na ungekuwa mtu wa maombi hata hiyo mimba usingeitoa na ungeendelea kumshukuru tu Mungu
nakushauri uokoke na utubu kweli na umuweke mumeo katika maombi hakika Mungu atafanya njia na kuwa mlinzi wa mumeo popote aendapo na ndipo nawe hutakuwa na wasiwasi hata usafiri mwaka mzima ukitumaini Mungu yuko kufanya jambo kwa ajili ya ndoa yako na familia yako kwa ujumla dada yangu.mbawallahttps://www.blogger.com/profile/16222484711602356763noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-76549316601378576362011-12-29T10:52:37.197-08:002011-12-29T10:52:37.197-08:00Wewe dada umemuua ndugu ya watoto wako kisa mwanau...Wewe dada umemuua ndugu ya watoto wako kisa mwanaume? Utawaua wangapi sasa maana hujui huko mtaani kama ana watoto wengine au hapana. Unafikiri hivyo ulivyofanya umemkomesha mumeo au ndio umemsaidia kusolve hilo soo ili aendelee kuchezea wasichana wengine?

Hivi pamoja na kazi unayofanya bado uko desperate kiasi hicho kuwa huwezi kuishi bila huyo mwanaume au? Ni mali au nini kinachokuweka hapo? Kwani kama ni mapenzi sidhani kama unampenda huyo baba kwani ungekuwa unampenda usingemuulia mtoto wake ambaye hujui angekuja kuwa nani hapa duniani au pengine angekusaidia wewe mwenyewe.

Mimi bwana nisingemfukuza huyo msichana ama mie ningemuacha huyo kicheche au kama nimeamua kufa na huyo bwana basi huyo msichana angekaa humo humo ndani mpaka akazaa kisha mtoto angesogea kidogo tu ningemrudisha kwao nikamuacha yule mtoto humo humo ndani ili kila siku huyo baba anapoamka asubuhi aone matunda ya dhambi yake! Ningeleta kaka wa kunisaidia kazi za ndani na kumsaidia na yeye pia shughuli ya kitandani!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-46922873489010368662011-12-29T02:08:00.385-08:002011-12-29T02:08:00.385-08:00katika vyote ulikosea kutoa hiyo mimba ya hicho ki...katika vyote ulikosea kutoa hiyo mimba ya hicho kiumbe,kiumbe kilichokuwa tumboni kilikuwa hakina hatia yoyote,umeonyesha jinsi gani roho yako ilivyo,mwanamume wako huwezi kumzuia kufanya chochote akitaka kufanya ungetumia tu busara ya kumrudisha huyo binti kwao bila kutoa hiyo mimba,ukadeal na mumeo,Pole,ila kuwa makini hii kitu itakurudi tu.kiumbe usingeuuaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-71062314635250378392011-12-28T04:19:23.299-08:002011-12-28T04:19:23.299-08:00pole sana aunty.ila ujiandae kwa chochote kwani ul...pole sana aunty.ila ujiandae kwa chochote kwani uliweka mikono yako kwenye damu icyo na hatia..mmemuua mtt wa wa2 bure akiwa hajui hta kinachoendelea...na dunia ndogo siku moja huyo dada anaweza kutana na mumeo..Anonymousnoreply@blogger.com