tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post7042067899039526528..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on TUONGEEMAHUSIANO: Msaada Tutani....ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-14263440924633583932012-08-12T13:04:16.852-07:002012-08-12T13:04:16.852-07:00Hata mimi mtoa mada sijampata; na nachelea kusema ...Hata mimi mtoa mada sijampata; na nachelea kusema yeye ndio tatizo.

Wewe kama unajua kuwa hupendi watu kwa nini ulikubali kuolewa na mwanaume anayeishi na ndugu zake??? Ningekuhurumia kama wangekuwa wamekukuta...ila wewe umewakuta...na usipoangalia bidada utawaacha kama ulivyowakuta!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-10092288032121956282012-08-10T23:44:06.827-07:002012-08-10T23:44:06.827-07:00my dia hizo ndo familia zetu za ki africa tunaishi...my dia hizo ndo familia zetu za ki africa tunaishi kwa kutegemeana na hauko peke yako mpenzi so dont feel so desparate na ndoa yako just start feeling happy na utaenjoy, hao watu ni kwel mumeo hana kwa kuwapeleka so utaendelea kuishi nao hapo mpaka hapo watakapokua na maisha yao..,jitaidi tu kuwasisitiza wasome na huyo mama mkwe kaa nae vizuri kabisa mana hujui ni kiasi gani alipata shida na hyo mumeo na ndo maana anaona hata fahari kuwaita ndugu zake waje waone anapokaa kwa mtoto wake,
hayo ni maisha ya muda tu my dia wataondoka wote so jitaidi kuwa na uvumilivu hayo ndo majaribu ya hizi extended family tulizonazo,mazanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-27028874173733112432012-08-09T11:15:45.127-07:002012-08-09T11:15:45.127-07:00Pole, wala hauko peke yako ndio familia za kiafrik...Pole, wala hauko peke yako ndio familia za kiafrika zilivyo, hasa makabila yetu haya ya kutoka kanda zote za ziwa ndio usiseme. Sasa wewe ukiwa umetoka kwenye nuklia family kama familia za kichaga basi utaona shughuli pevu. Lakini kama umetokea kwenye familia za kihivyo basi hutaona shida.

Tatizo lako mdogo wangu kabla hujaolewa ulishaweka negativity kuhusu ndugu wa mumeo basi lazima itakunyima raha katika maisha yako. Hebu ngoja nianze kuchambua moja moja

1. Wakwe wamekuja harusini kisha wameenda zao, wewe umechukia nini?
2. Mama mkwe anaita ndugu waje watembee huko kwenu na wabaki kutokana na attitude yako, ukichange your attitude ukaanza kupenda watu hata kutia adabu kwa style hiyo
3. Inaelekea mumeo familia yake ndio inamtegemea na wewe umeolewa umewakuta unataka awafukuze awapeleke wapi? Kama uliona huwezi kuishi na watu ni nini kuolewa?
4. Inawezekana wewe ndio source ya hao wasichana kuharibikiwa kwa sababu hawana mapenzi wala muongozo humo ndani. Ingekuwa ni wadogo zako wa tumbo moja na wanakutegemea wewe ungewaacha waharibike.

5. Start changing your attitude na hata usoni utaonekana tofauti na kila kitu kitabadilika, badilika uwe mtu wa kikombe kiko half full badala ya half empty.
6. Kuhusu kukufulia nguo si na wao wanakwenda shule au sijasoma vizuri kuwa wanasoma? Unafikiri kwa attitude uliyonayo na inaonyesha wazi kuwa huwapendi watakupenda mpaka wakufanyie kitu kama kukufulia? So long as wao wanafua nguo zao wewe shida yako iko wapi?

7. Ushauri: Kama unaona kazi zimezidi humo ndani na wewe unachoka basi mwambie mumeo akuwekee msaidizi hata wa kwenda na kurudi aje afanye usafi, apike apige pasi, wewe ukirudi jioni unakaa kitako unaongea na mama mkwe, au unacheza na watoto wako. Wewe hao wapo temporary wa kike wataolewa wataenda zao wakati ukifika wakiume na wao itafika muda wataanza kujitegemea, waache kaka yao awasomeshe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-6910332581779287552012-08-09T09:01:31.345-07:002012-08-09T09:01:31.345-07:00Pole sana. Nakushauri Piga goti muombe Mungu wako....Pole sana. Nakushauri Piga goti muombe Mungu wako. Baada ya mwezi mmoja kwenye tarehe kama hii ya leo njoo na majibu. Mungu wa Yakobo, Isaka na Abraham hujibu sala za kila binadamu.Judith Bagachwahttps://www.blogger.com/profile/12722782332071243746noreply@blogger.com