tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post6242348779864879519..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: Mmmhhhh...HapanaROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-30489972240940464892012-08-03T12:26:46.348-07:002012-08-03T12:26:46.348-07:00Inaitwa Tanga line hiyo. Kaka yetu alijitia kichw...Inaitwa Tanga line hiyo. Kaka yetu alijitia kichwa ngumu...akashikwa kashikika...alikuja kukumbuka shuka kumeshakucha...anajutia ujana wake alopoteza maana kajizeekea hana mbele wala nyumaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-84785169743640307342012-07-25T14:59:21.516-07:002012-07-25T14:59:21.516-07:00Kama nyinyi ni wakristo, peleka maombi kwa Baba mc...Kama nyinyi ni wakristo, peleka maombi kwa Baba mchungaji nakwambia siku au wiki hiyo hiyo utaona anajirudi nakufanya maamuzi sahihi, haiwezekani nyumba ikawa kama behewa la treni, kwanza hata mwenye nyumba akijua watu wengi kiasi hicho wanakaa kwenye nyumba yake lazma awafukuze upangaji., huo ni upuuzi na inaelekea wifi yako kamshika sana kaka yako. Kwa jina la YESU ashindwe kama kuna mambo ya kishirikina.Mwaipshttps://www.blogger.com/profile/11377012883956469499noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-71081903691761008432012-07-25T02:37:30.011-07:002012-07-25T02:37:30.011-07:00Karogwa kakako sio buree!!!na huyo dada amechangan...Karogwa kakako sio buree!!!na huyo dada amechanganyikiwa jmn mishipa ya aibu imemtokaAnonymousnoreply@blogger.com