tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post5660752149653304467..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: MKE WANGU SIO MWAMINIFU....ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-64737475961246679382011-08-10T09:42:45.340-07:002011-08-10T09:42:45.340-07:00pole sana kaka najua hili swala ni kwa jinsi gani ...pole sana kaka najua hili swala ni kwa jinsi gani linakuumiza haswa ukizingatia ni mke wako wa ndoa sasa mimi kitu nitakacho kushauri usiamini sana marafiki sisi binadamu tuna hulka za aina mbalimbali usimwamini sana mwanadamu mwenzako simtetei mkeo lakini nataka ufanye uchunguzi zaidi na uwe na evidence ya kutosha ukisha pata ushahidi wa kutosha mkalishe mkeo umwonye kwama ya kwanza sikuambii umwache la hasha maana kama mna watoto watapata shida umweleze madhara ya kutoka nje na kwanini akashaushika kuvunja uaminifu umweleze polepole kwa utaratibu usiwe mkali maaana na yeye atakuwa na tatizo lake lililomsababisha kutoka nje ya ndoa na akishakiri mwambie kwa vile umekuwa siomwaminifu katika ndoa mwende mkapime afya siku hizi magonjwa mengi akikubali mnaenda pima kama mkosalama unakuja kumpa masharti umweleze umeweka ulinzi kila mahali wa kumchunguza yeye kwa anayoyafanya ni hayo tu usiwe na hasira maana hasira hasara pole sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-25302044134622567772011-08-10T08:22:05.816-07:002011-08-10T08:22:05.816-07:00Duuuh! Inauma aiseee! Nahisi hata moyo umelipuka. ...Duuuh! Inauma aiseee! Nahisi hata moyo umelipuka. Kaka usimuulize, jaribu kutengeneza mtegoDuuuh! Inauma aiseee! Nahisi hata moyo umelipuka. Kaka usimuulize, jaribu kutengeneza mtegoAnonymousnoreply@blogger.com