tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post4881032350444008402..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: MKE WANGU ANITIA AIBU...ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-54130474627877697462011-11-15T17:25:56.624-08:002011-11-15T17:25:56.624-08:00Ukishakosa radhi ya mama yako, ukawa huna mbele wa...Ukishakosa radhi ya mama yako, ukawa huna mbele wala nyuma huyo mke ataondoka na kuolewa na bwana mwingine. Wanaume wengi wana matatizo kama yako lakini wanachofanya ni kuwa na msimamo na kumueleza mke nafasi yake kama mke na nafasi ya mzazi, hasa mama. Ungekuwa ni muislamu ningekushauri umuite mtu mzima anayefahamu vizuri sheria ya dini inasemaje kuhusu wazazi, na pia jaribu kuwashirikisha wazazi wake kwenye hili.<br /><br />La sivyo kama uko very strong na unajiamini subiri siku wakija wazazi au ndugu zake na wewe uanze vituko kama vyake na pengine kuzidi. Tena asubuhi unaondoka huachi matumizi, unawanunia wazee wake, yeye mwenyewe humsemeshi akikuuliza kitu unamjibu kwa jeuri tena mbele ya ndugu zake. Hilo litatibu ugonjwa wake maana ndugu zake lazima watamuuliza na watakuuliza na wewe tatizo ni nini? Na hapo ndipo utakapowajibu kuwa hivi ndivyo mwanenu anavyomfanyia mama yangu nimetaka na yeye afeel ninavyojisikia akimfanyia mama yangu vituko. Lakini jiandae si unajua mtenda akitendewa?Anonymousnoreply@blogger.com