tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post4524375970402225671..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: WAMAMA KWANINI HAMJITENDEI HAKI.......ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-76573952298878655082011-03-01T02:05:04.319-08:002011-03-01T02:05:04.319-08:00dada yangu swala la wanawake kulia lia,lina chimbu...dada yangu swala la wanawake kulia lia,lina chimbuko lake.japo kwa leo nita changia ,upande wa mwanamke mwenyewe kujitambua.na hili linaanzia katika kipengere cha huyo mumeo ulimpata wapi kabla ya kuoana.au mlionana wapi kwa mara ya kwanza. bila kwenda ndani zaid ukijiuliza maswali haya mawili,yawezekana ukagundua sababu ya wewe kulia.mfano kama mlikutana kwa mara ya kwanza ,kwenye kujirusha,ukifuatilia utaona kuna kitu kilijificha hakikuwa wazi mpaka mmefunga ndoa ndo una kuja juwa kumbe mumeo ni mtu wa totos na ni mtu asiye kosa kwenda kujirusha,japo haikatazwi ila una kuta yeye ndo zake na akiwa huko utaratibu ni uleule kama alivyo kupata wewe ila tofauti inabaki tayari wewe ashakueka ndani hivyo anaenderea kujirusha, napo unapo kuja kugundua yametokea hayo lazima uanze kulia.vilevile siyo wote wakutanao kwenye kujirusha yana wakuta haya,ila nisababu mojawapo kuangalia kwa makini mmekutana wapi kwa mara ya kwanza.Lingine bila kwenda kwa umbali zaid, ni kati yenu nania alianza kumzimikia mwenzake. hili nalo lina mchango mkubwa tena saingine ina kuwa kote kwa mwaqnamke,au mwanaume. inategemea na nai mtentwa.kwa hiyo hoja yako nimeipenda sana lakini nipana mno ina hitaji muda, kwasababu hapa tuna ongelea uzoefu.na pia mimi nishabiki mkubwa kuona wanawake wanajitambua na siy kujikomboa.? kaka s.Anonymousnoreply@blogger.com