tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post4453976020917709613..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on <b><i>TUONGEEMAHUSIANO</i></b>: NI KWELI WANAWAKE NI WAKATILI..ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-22072130370347715302012-02-22T03:54:50.304-08:002012-02-22T03:54:50.304-08:00nakubaliana nawe emu, ubinaadamu upo pale pale, na...nakubaliana nawe emu, ubinaadamu upo pale pale, na inawezekana tukamhukumu huyo dada kwa vile tangu mwanzo hakupenda kuuweka huo ujauzito ila inawezekana pia aliyokuwa akiyaongea mwisho (kutaka mtoto azaliwe ndani ya ndoa) yalikuwa ni ya msingi kwake, hapo muhimu ni kujifunza ili makosa kama hayo yasijirudie kwani lawama ni kwa wote wawili. huenda ungekubali ndoa hayo yote yasingetokea na pengine aliikataa hiyo mimba kwa sababu hiyo hiyo ya kuogopa kuzaa nje ya ndoa. muhimu ni kujifunza na sio kumuhesabia kosa mwenziochabyhttps://www.blogger.com/profile/12619438944322819155noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-61313349194771236522012-02-21T04:57:02.937-08:002012-02-21T04:57:02.937-08:00Ubinadamu upo pale pale kuwa binadamu sio mkamilif...Ubinadamu upo pale pale kuwa binadamu sio mkamilifu,....kila mmoja anao udhaifi awe mke au mume, na kawaida kila mmoja huvutia kamba kwake, ...cha muhimu ni kujirekebisha na kila mmoja ajiangalie mwenyewe jinsi gani anavyotiumiza wajibu wake....au sio.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com