tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post422927312780075383..comments2024-02-24T13:21:43.571-08:00Comments on TUONGEEMAHUSIANO: Chezea Gusa Gusa wewe..ROSEMARY MIZIZIhttp://www.blogger.com/profile/11366943256369730237noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-75103036268935664312012-08-26T23:59:28.131-07:002012-08-26T23:59:28.131-07:00Jamani wanawake tujipende, mwanaume kama ni malaya...Jamani wanawake tujipende, mwanaume kama ni malaya ni malaya tu. Badala ya kumlilia Mungu aingilie kati katika ndoa, unaamua kumkufuru.

Mungu husikia, we just need to be patient and listen to what he has to say to us.Hajachelewa amlilie Mungu katika hili.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-13685717437565133352012-08-24T00:05:54.346-07:002012-08-24T00:05:54.346-07:00Mmmhhhhhhhhhhhh hii nayo ya karne dada wanamme haw...Mmmhhhhhhhhhhhh hii nayo ya karne dada wanamme hawabebeki usijidanganye.POLE KWA YALOKUFIKA.
USHAURI WA BURE: KAMA UNAMTOTO WA KIKE HAKIKISHA UNAMFUNDISHA UBAYA WA KUTOA TIGO ASIJE DHURIKA MAANA HIMSTORIA HUWA INAJIRUDIA ISIJE IKAJIRUDIA KWA BINTIYOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-39794153742356399622012-08-22T14:23:23.624-07:002012-08-22T14:23:23.624-07:00Ya leo kali, makubwa madogo yana nafuu, mapenzi ga...Ya leo kali, makubwa madogo yana nafuu, mapenzi gani hayo jamani wanawake wenzangu? Mapenzi ni kujipenda wewe mwenyewe kwanza na kufanya lile ambalo lina manufaa kwa afya yako. Hivi hamjasikia kuwa ukimwi uliwamaliza magay wengi? Huko nyuma ni rahisi sana kuambukizana maradhi, yaani namuonea huruma huyo dada atakuwa anaishi na Lucifer aliye kwenye umbo la kibinadamu.

Kuna kaka mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yaani yeye ngono kwake ilikuwa kuliko chakula hata muda wa kazi alikuwa anatoroka anaenda kwenye madanguro. Kumbe virusi vilikuwa vinamfanya ajisikie kufanya ngono muda wote. Na alikuwa anawapata hasa!! Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-13051764458843414072012-08-22T11:06:19.452-07:002012-08-22T11:06:19.452-07:00eeeeh jamani hii inatisha, lakini wanawake pia tuw...eeeeh jamani hii inatisha, lakini wanawake pia tuwe tunachuja mambo mengine na tuwe na msimamo, haimaanishi kumpa raha mumeo ndo mpaka umkufuru mungu wako na kujidhalilisha. huu ni uchafu na madhara yae yanajulikana, ni kweli huyu dada alikua anataka kunusuru ndoa yake, na kwa hilo alikua jasiri, ila tuwe tunatizama mbele na kujitahidi sana kutokumkufuru muumba wetu na kijipenda sisi wenyewe. Tendo la ndoa ni wote kufurahia na kuridhiana, halina maana kama unafanya kumridhisha tu mwenzio wewe huku rohoni unasononeka.TumTumnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-6239416585244927702012-08-22T07:01:55.219-07:002012-08-22T07:01:55.219-07:00awe mwangalifu na watoto wake, wasije kufata tabia...awe mwangalifu na watoto wake, wasije kufata tabia ya baba yao. ukila vya wenzio na vyako huliwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-12517568148776155302012-08-22T03:53:10.904-07:002012-08-22T03:53:10.904-07:00Mh!! mwenyezi mungu atunusuru
ZaituniMh!! mwenyezi mungu atunusuru

ZaituniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-536960191644458037.post-4719934058318064222012-08-22T03:30:08.598-07:002012-08-22T03:30:08.598-07:00mwanamke kwake ni wapi jaman, a very sad story DUu...mwanamke kwake ni wapi jaman, a very sad story DUuuuuuuuuuuuh, nipo hoiAnonymousnoreply@blogger.com