Wednesday, October 31, 2012

KUFUNDWA...7/12/2012 lipia nafasi yako sasa

Wapendwa kwanza kabisa naomba mnisamehe kwa mabadiliko yaliyojitokeza lakini hayo yote ni kwasababu tu nataka tufanye kitu ambacho mtu atakapotoka aone umuhimu wa kuhudhuria siku nyengine kwamba kitu kimependeza na mmefurahia.

Shughuli yetu imebadilika tena tarehe kwenda siku ya Ijumaa tarehe 7/12/2012 na haitabadilika tena itafanyika pale The majestic hall sinza kwa remy kwanzia saa kumi na moja mpaka saa nne usiku ili tuwahi visa zetu (wale wake za watu ndio hupewa visa) na wengine wanaotaka kumalizia siku disco waweze pata muda wa kujiandaa vizuri maana wengine watakuwa wametoka kazini moja kwa moja.

Jamani siku hii ile ya tuliyofanya mwanzo cha mtoto humu mambo balaa nasema tena kama wewe unaaibu haikufuai na kama wewe unahisi hujakomaa bado mtoto baki nyumbani huku kwa watu wazima  wanaojipenda, wenye kupenda wapenzi wao, na kukataa wapenzi wengi kuepusha UKIMWI maana hapa tutafundwa jinsi ya kumpa raha mumeo ama mpenzi wako ambaye unatarajia atakuoa siku moja maana inaweza ikatokea mpaka mtu kuvua nguo kutufunda vyema ndio maana kama wewe sio mtu mzima uliyekomaa usije, unaambiwa heshima ya mwanamke uwe mke sio uchukuliwe tu poapoa kama juisi ya embe ukimaliza kunywewa nzi wanasafisha glass..

Kutokana na mawazo ya wengi wanasema bora tuwe na sare kama ni moja kama ile ya mwanzo ya madira meusi na gold tulivyopendeza basi mimi na kamati yangu tumeona tubadilishe kiingilio na kuwa 35,000 na sio 30,000 ili upate na kikoi chako ambacho ndio sare halafu juu utatupia vest nyeupe au singlendi kama wabongo tuvyoziita kwahiyo utapata sare yako.

Wanawake kujiamini kwako sio kwa kisomo na kazi tu, mwanamke heshima yako uitwe mke wa fulani na MUNGU akipenda mama fulani.

Tukutane tarehe 7/12/2012 wapenzi na MUNGU awabariki


Tuesday, October 30, 2012

Hehe heiya...

Chezea kinywaji mlipuko wewe, wengine wanasema kizibo kikikudondokea inakuwa bahati kwako siye tunasema hayo maneno tu hata kwenye khanga yapo..raha ya kinywaji mlipuko unaijuwa? upinde wake unaufahamu, makamuzi yake je? unajuwa kuichezea kitandani ama kuitia mdomoni tu au wewe ndio walewale ukiona mapovu yake unachekelea..nishakupoteza najuwa wala sio hilo unalofikiria tukutane tarehe 7/12/2012 upate maujuzi..kama sifa ya mwanamke sura hata mbuzi jike angesifiwa mwanamke kitanda bwana...

Mume amlipuwa mke kisa wivu wa mapenzi.. Makubwa haya kumbe mke anauma???

MWANAMKE aliyefahamika kwa jina la Subira Malefya (53), mkazi wa Kijiji cha Ipinda wilayani Kyela, mkoani hapa, amelazwa katika hospitali ya wilaya baada ya kumwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto na mumewe ambaye ni mwalimu mstaafu, Boniface Mwakinyuke (64).

 
Kaimu Katibu Tarafa wa Ntebela, Cathbert Mwalukama alisema kuwa mwanamke huyo alimwagiwa mafuta ya taa mwili mzima kisha kuchomwa moto saa nne usiku hivi karibuni akiwa amelala fofofo.

 
“Siku hiyo walikuwa wote kwenye kilabu cha pombe lakini mke aliwahi kurudi nyumbani na alilala,” alisema Mwalikama.

 
Hata hivyo, baadhi ya watu waliokuwa kilabuni walioogopa kutaja majina walisema mwalimu huyo mstaafu alipoona mkewe kaondoka alianza ‘kulia’ wivu kwamba amechukuliwa na mwanaume mwingine.

 
Walisema mwalimu huyo baadaye alikwenda dukani na kununua mafuta ya taa lita moja na nusu na kiberiti na kwenda nayo nyumbani kwake ambapo aliyatumia kumlipua mkewe.

Baada ya kitendo hicho, wasamaria walimkimbiza mama huyo katika Kituo cha Afya cha Ipinda na baadaye akahamishiwa Hospitali ya Wilaya ya Kyela ambapo anaendelea na matibabu. Mwalimu huyo alikamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi Kyela ambako anashikiliwa.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Dk. Festo Ndungange amethibitisha kumpokea mgonjwa huyo na kusema amelazwa wadi namba tatu kwa matibabu zaidi.

Source:Global Publishers

Monday, October 29, 2012

Msaada Tutani....

I hope umzima nimeipenda blog yako kwani inakuwezasha mtu kutoa mambo yako ya ndani ambayo kwa jamii wanayaona ni matusi lakini kwa ukweli wa mambo mambo hayo ya matusi yapo nainabidi kuyazungumza.

Mimi nimeolewa miaka 8 iliyopita nna watoto watu na mume wangu nnampenda na yeye ananipenda niliolewa nikiwa na miaka 19 ni hadith ndefu naomba uchukuwe muda kuisoma, aliniona through family friend akanipenda na mimi sikuona vibaya kuolea naye japo amenizidi umri kidogo nilikubali na kusema ndoa siyo jela ntajaribu nikishindwa ntarudi kwetu.

siku ya harusi ikafika ndoa ikapita usiku ule wa ndoa tukaenda hotel tulipofika akaniuliza kabla hajaniingili kama nilikuwa bikira au kazi nimeshaianza yeye kanipenda miye na siyo bikira yangu itakavyo kuwa nimeshakuwa mkewe, na mimi I was just 19 at the time na nilikuwa sijawahi kufanya hilo tendo ni msichana nnae penda dini yangu nikawa nasubiri the right man na the right man akaja, basi nikamuambia sijawahi, alinikumbatia for more than 10min akiniambia pole sana ndon't worry every thing will be ok kutokea hapo to cut the story short ilimchukuwa two week kuniingilia hakutaka niumie ni mwanaume mwenye huruma sana na mahaba.

 
lakini kinachoniumiza kitchwa ni hiki mapenzi anayonifanyia kitandani ni ya ajabu sana akitaka kuniinigilia atachukuwa zaidi ya saa moja kunichezaa wich I don't complain ila anavyonichezea ndio hatari akinianza kuninyonya kuma huwa anapenda kuninyonya na nyuma kunitia ulimi wake au vidole na wakati akinifanya hivyo ni mimi raha zimehsanikolea nikiogopa siku za mwanzo lakini akaniambia wewe mke wangu na mimi ni mumeo naomba niamini sintokufanya tendo baya kinyume na matakwa yako kama unasikia raha enjoy kwani mimi ndio raha zangu naona raha hivi nnanavyo kuchezea naomba na wewe starehe basi Rosemary mpaka nimezowea na nnaona raha mno kutiwa ulimi ndani ya mkundu na vidole na akinitia vidole huwa anatumia special oil ambayo inanifanya nione raha.

 
Sasa aliponiowa hakuniingialia for two weeks alikuwa akinichezea tu mpaka siku nilipomuambia anipe yote ndipo alipo nibikiri sasa na huu mchezo wake nnaona lengo lake lile kuwa raha nnazo zipata kwa chezewa mbele na nyuma kwa wakati mmoja mwisho wake kama siyo mzuri japo kuwa mimi mwenyewe nikitu ambacho sikitaki wala sikipendi lakini kilipoanzi na kufukia hapa nnaogopa, sijuwi nta ki stopisha vipi.

 
swali langu ni hili ni mimi nnamfikiria vibaya au na wewe unamuonaje mtu huyu kwani ni mwanaume wa kwanza kuniingilia na sijapatapo kutoka nje kuona wengine wanafanya vipi, na hapa tulipofikia ntamstopisha vipi kwani nna muona anavyo hangaika na ku -enjoy wakati akinichezea nyuma mungu anajua. Naomba ushauri wako kwani alipoanza alianza kidogo kidogo tena huwa ananiuliza unasikia raha na kweli nasikia raha tena kwa muda mwinigine anaongeza sehemu nyingine kunitekenya na kuniuliza kama nasikia raha na kweli raha ipo mpaka hapa tulipofikia naona kama tunaenda kubaya kwani anavyonichezea huwa kunatekenya mbele na nyuma utamu naomba misaada yenu nifanye nini miye.




Msaada Tutani..

Natarajia hujambo

Nimeona blog yako in nzuri na inatuelimisha na kututoa viujinga fulani ambavyo hatuvijuwi au hatuvielewi asante sana kwa blog yako
mimi naomba uniweeke swali langu hili kwenye blog yako nipate maoni ya wana blog wako.

 
mimi in mke wa mtu nimeolea kwa muda mrefu sasa nna watoto nashukuru mungu na mimi na mume wangu tunapendana tunashukuru mungu, ila nnaajmbo linaniumiza sana kichwa nalo mume wangu akiniingilia mimi sipati kukojoa huwa nasikia rahara sana lakini kabla sijakojoa yeye anakuwa kashamaliza kabla ya mimi, kiasi kwamba saa nyingine natamani ningekuwa na mwanaume nje apate kunikojoza tu lakini kwa tabia yangu nikitu ambacho siwezi kukifanya. Sasa Swali langu in hili nataka kujua jinsi gani mwanamke anaweza kijifanyia mastarbation mwenyewe mpaka akakojoa na swali la pili je hiyo mastabation inamadhara yoyote na kama inayo niyapi ntashukuru kama utaniwekea hii habari yangu kwenye blog yako ili nipate majibu pia ntashukuru kama wewe mwenyewe binafsni utanipa ushauri juu ya swala hili, lakini naomba usiweke email address yangu kwenye blog.



Thanks in advance



Mwana blog

BI. Harusi mtarajiwa, Elizabeth Terezia (32), mkazi wa Mbezi Beach, Kinondoni jijini Dar es Salaam amebakwa, ameuawa kikatili na watu wasiojulikana wakati akitoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Kawe, Dar linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, Uwazi lina kila kitu mkononi.

Kwa mujibu wa bwana harusi mtarajiwa, Edefonce Sikwembe (42) ambaye ni mkazi wa Kunduchi, Dar tukio hilo la kinyama lilijiri Oktoba 10, mwaka huu majira ya usiku wakati Elizabeth akirudi nyumbani kutokea kanisani hapo.

“Siku ya tukio tulikuwa katika viwanja vya kanisa la Gwajima, nilimpigia simu mwenzangu kumwambia nakwenda nyumbani kuandaa biashara ambayo ningeifanye kesho yake,” alisema Sikwembe.

“Kwa maana hiyo yeye nilimwacha kanisani. Saa 2:30 usiku nikampigia tena simu kutaka kujua alipo, akaniambia yupo njiani anaelekea nyumbani kwao.

“Saa 3:00 usiku nilimpigia tena, maana ilikuwa kawaida yangu akiwa nje ya nyumbani kumfuatilia anaporudi ili nijue alipo, lakini cha kushangaza akawa hapatikani, niliamini simu yake iliishiwa chaji.

“Sikuwa na wasiwasi hata kidogo. Hata usingizi wangu usiku haukuwa wa mang’amunga’amu. Alfajiri ya siku iliyofuata nilipoamka nilimpigia simu tena nikiamini mchumba wangu Eliza alichaji simu usiku, lakini bado akawa hapatikani!

“Hata hivyo, niliondoka nyumbani alfajiri hiyohiyo kwenda Buguruni ambako ndiko kuna biashara zangu. Njiani nilimfikiria sana Eliza, si kawaida yake kutopatikana hewani kwa muda wote huo.

“Ilipofika saa 12 asubuhi, shemeji yangu anaitwa Lillian alinipigia simu na kuniambia Eliza tangu alipokwenda kanisani jana yake jioni hajaonekana nyumbani.

“Kuanzia hapo nilianza kupatwa na wasiwasi, tena mkubwa. Namjua Eliza, si mtu wa kwenda kulala mahali bila taarifa, hasa kwangu,” alisema bwana harusi huyo huku machozi yakimtiririka. Kabla hajaendelea, akasema kwa uchungu na kwa kifupi!

“Da! Inauma sana kwa kweli.”

Akaendelea: “Palepale nilifunga biashara, nikaondoka kwenda kwao ili nikapate maelezo mazuri. Lakini kabla sijafika Mbezi Beach, njiani maeneo ya Afrikana nilikutana na Lillian.

“Tukaamua kwenda kanisani kwa Gwajima kwa ajili ya kuulizia. Njiani akili yangu iliwaza mengi, lakini yale mabaya sikuyapa nafasi na nilimwomba Mungu kwamba kama kuna baya lolote limemfika mpenzi wangu iwe ni filamu na si la kweli.

“Tulifika, mawazo yangu yalitamani tuambiwe Eliza alilala pale kwa ajili ya huduma, lakini ikawa kinyume, tukajibiwa kuwa alipoondoka jana, hakurudi!

“Kuanzia hapo nilichanganyikiwa, nilikuwa nikitembea eneo la kanisa huku na kule nikiamini nitamwona Eliza wangu, lakini bila mafanikio.

“Nikaenda kuuliza kwa majirani wa maeneo yale lakini majibu yao yalikuwa hawajamuona mtu na aina hiyo. Kuna wakati nilitaka kuamini kwamba, alifichwa eneo lilelile na wafichaji waliniona ninavyohaha kumsaka mchumba wangu.

“Mwishowe, mimi na Lillian tulikwenda Kituo cha Polisi Kawe na baadaye Oysterbay kwa ajili ya kuulizia na kuripoti, nako hakukuwa na taarifa za mchumba wangu.

“Baada ya hapo tuliendelea kuulizia na vituo vingine vya polisi na tulifika Hospitali ya Temeke, Amana na Mwananyamala ambako pia hatukumpata Eliza. Mpaka hapo bado sikuacha kupiga simu yake na iliendelea kutopatikana.” (akatokwa machozi).

Akaendelea: “Siku ya nne tangu kutoweka kwa Eliza, shemeji Lillian alinipigia simu, akaniambia niende nyumbani kwao, nikahisi Eliza ameonekana. Njiani mapigo ya moyo yalikuwa yakienda kwa kasi.

“Nilipokaribia kwao, niliwaona watu wengi wakiwa katika mfereji ambao upo karibu na hapo nyumbani, nikashtuka na kusimama kwanza, kisha nikatembea tena.

“Lakini tayari mwili wangu ukawa unaishiwa nguvu kwani nyuso za watu wale zilikuwa za huzuni tupu. Kusema ukweli japo ni mwanaume, nilishindwa kujizuia, nikakaa chini hasa pia baada ya kuliona ‘Difenda’ la polisi likiwa katika eneo lile.” (Sikwembe akalia tena).

Alipotulia, akaendelea: “Shemeji yangu alinifuata huku akilia na kusema, ‘shemeji hatumaye Elizabeth hatunaye tena duniani.’

Sikwembe alishindwa kusimulia vizuri kutokana na kilio, lakini alisema ilionekana marehemu alitekwa na watu wasiojulikana, wakambaka na kumuua kwa kumnyonga kwa khanga kisha kutuupa mwili wake katika mfereji huo.

Alisema mwili wa marehemu ulikutwa ukielea kwenye maji machafu na umelimba huku nguo yake za ndani ikiwa pembeni yake sanjari na Biblia aliyokuwa nayo kanisani.

“Elizabeth amekufa kifo cha kusikitisha sana, kinaniuma sana, maiti yake ilibidi ichukuliwe kwenye nailoni mpaka Hospitali ya Mwananyamala, lakini uongozi wa hospitali hiyo walisema chumba cha maiti kilijaa hivyo tukampeleka Muhimbili,” alisema mwanaume huyo.

Marehemu alizikwa Oktoba 14, mwaka huu, Mbezi, Dar es Salaam na ilikuwa wafunge ndoa na Edefonce` Desemba, mwaka huu na tayari vikao vya harusi vilishaanza kwa pande zote mbili. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. Amina.
 
Source: Global Publishers

KUKU WAKO MWENYEWE MANATI YA NINI..

Hehe heiya linakukera linakukereketa ukiona mwenzio anandoa eeheee ndio nishawekwa ndani utalia mpaka ufe...Lako hilo

Jamani mimi nashangaa mtu mzima ukivua chupi unanuka shombo kutwaaaa kufwata ya watu, ndoa yake imefanya nini sijui mumewe kafanya nini, nigandane na mume wangu kwani tumezaliwa wote, mapacha wenyewe wamezaliwa siku moja lakini masaa tofauti sembuse mimi na mume wangu.

Unajisumbua kucomment kuhusu mume wangu eti anawanawake nje sasa yeye si anasimamisha kama unataka na wewe mpelekee akutombe kumaninza zako alafu uone kama ataniacha, huyo wanguuuu tu mpaka roma kanisa kuu la katoliki wanajuwa sembuse wewe linakukereketa unavyomuona kijana handsome kapendeza mpe bureeeeeee uone kama kwangu ataondoka wenzio tuliaga kwetu hatukuja mjini kichwa kichwa kama wewe huna bwana anayekupenda akuoe akuweke ndani kutwa kila siku kukimbizana na wame za watu..Nyauba wee kama unajiamini siungempata wako akuweke ndani sasa wame za watu kinakukera nini kwahiyo ulitaka uniambie mume wangu anamwanamke nje ili nifanyaje..Nimuache???????

Shoga miye ndio nishafika simuavhi labda kifo, na kama anamwanamke na aendelee kuwa naye miye MKEWE, MAMA WA WATOTO WAKE..namba moja miye akiamka asubuhi na namba ya mwisho miye akienda kulala sasa wewe endelea na umbea wako..

Kama alikutomba akakudanganya ndani hapati hicho unachompa mbona hajaniacha akakuweka ndani wewe unayejuwa kumpa hiko unachompa...sitarudia tena kuandika haya ila endelea kukereketwa kwa kuiona ndo ayangu inashamiri inaelekea hukufundwa wewe umekuwaa tu kama uyoga bila mbegu...

Manina zako..

Wednesday, October 24, 2012

SOMO..

Wanawake wengine sijui wakoje na tabia za ajabu mwanamke bwana akiona amekataliwa basi lazima ataanza visingizio kibao kumkashifu mwanaume inahusu!!! kama hakutaki si akutaki jamani kubaliana nayo uondoke ukatafute mwengine sasa matusi ya kuhusu yeye ya nini halafu tusi kubwa la wanawake utasikia mwanaume mwenyewe uume mdogo kama kidole changu cha mwisho ukikohoa inatoka..Inahusu

Wanawake nataka muelewe kitu hii tabia muacha, uke wa mwanamke ni kama rubber band inatanuka kwa size tofauti ukikutana na tango utapanuka kama tango, ukikutana na carrot utapanuka kama carrot, ukikutana na pencil utapanuka kama pencil kwahiyo ni jukumu lako kama mwanamke kujuwa ufanyaje ama upindwe vipi ufikishwe kileleni na uenjoy kufanya mapenzi na mwanaume uliyenaye.

Halafu tabia zenu pia za kusema utazunguka mabucha yote nyama ileile kakudanganya nani kwani kwani wewe hujui kama kuna nyama, kuna mbavu, kuna maini, kuna steki kwahiyo nyama ni tofauti leo ukijisikia kula hiki unakula kesho kile unakula chamuhimu mwanamke na mwanaume ni vyema ukawa mbunifu katika mapenzi na mwenzako kwasababu usipompa wewe ujuwe atapewa pengine tu.

Mwanamke lazima ujiamini na mwanamke anayejiamini siku zote huwekwa ndani usiwe kama mpira wa kona kugombaniwa na mabwana kila kukichwa unatumiwa unaliwa na kuachwa unakuwa kama ndala thamani yako chooni chumbani unavuliwa nje, yani mwanaume mpaka awe na shida ya mzunguko ndio akufwate bila hivyo unawekwa pembeni..inauma sana

Hata watoto pia wanatuhusu....

 MTOTO yatima Juliana Mwinuka, mkazi wa Kijiji cha Mavanga, wilayani Ludewa, mkoani Njombe aliyeungua usoni baada ya kuangukia kwenye moto kutokana na maradhi yake ya kifafa, amehamishiwa katika Hospitali ya CCBRT akitokea Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Habari za mtoto huyo zilichapishwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika gazeti ndugu na hili la Amani.
Mwandishi wa gazeti hili Francis  Godwin aliyemuibua mtoto huyo kijijini Mavanga, akiwa hana msaada wowote kutokana na ufukara wa mtu anayeishinaye alipozungumza jana na gazeti hili ameeleza sababu za kuhamishiwa katika hospitali hiyo.
“Amehamishiwa CCBRT kwa kuwa kuna taarifa kuwa kuna  madaktari bingwa kutoka nchi mbalimbali duniani watafika hapo kwa ajili ya kuwafanyia matibabu  wagonjwa tukaona ni vyema akapata bahati hiyo,” alisema Godwin.
Alipoulizwa hali yake kwa sasa ikoje, Godwin alisema: “Hali yake imeendelea  kuleta matumaini baada ya kuanza kukaa mwenyewe  huku akiweza kuinua mikono jambo ambalo  linazidi  kututia moyo.”
Alisema anawashukuru wale wote walioguswa na kutoa msaada kutokana na tatizo la mtoto huyo aliyeungua kwa kuangukia moto kutokana na kusumbuliwa na kifafa.
Wote walioguswa na habari ya mtoto huyu na kuwa na moyo wa kumsaidia wawasiliane na mratibu wa matibabu yake ambaye ni mwandishi wetu kwa namba hizi  M-pesa 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199.

Source: Global Publishers

Kuku wako mwenyewe manati ya nini........

 
                                         Mwanamke Sitabai Chouhan akiwa hospitalini.
SIKU ambayo mwanamke Sitabai Chouhan alipolazwa katika Hospitali ya Maharaja Yashwant Raoin huko Indore, India, kwa jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu ya panya, ndiyo siku manesi walipogundua kwamba mwanamke huyo alikuwa amefungwa kufuli dogo kwenye mlango wa sehemu zake za siri.

  
                                                 Mume wa Sitabai, Sohanial Chouhan.

Mume wake aitwaye Sohanial Chouhan (38) alifikishwa polisi baada ya kugundua kwamba alikuwa ana tabia ya kumfunga kufuli mkewe sehemu hizo kwa muda wa miaka minne kwa madai kwamba asingefanya hivyo angekuwa anatembea nje ya ndoa.
Imegundulika kwamba Chouhan alianza kumwenyesha mkewe madawa ya kulevya na kisha akatumia sindano kutoboa matundu sehemu zote mbili za mlango wa uke wa Sitabai kisha akaweka kufuli dogo ambalo alilifunga kila asubuhi akienda kazini, na kulifungua wakati anaporejea.
Katika uchunguzi  huo, polisi waligundua ufunguo huo ukiwa umefichwa kwenye soksi zake.
Kisa cha mama huyo kujaribu kujiua kwa sumu ni pale alipogundua kwamba mumewe alikuwa anamtongoza binti yake wa kwanza ili afanye naye mapenzi.
Mwanamme huyo ambaye ni makenika  na aliyemwoa mkewe akiwa na umri wa miaka 16 na sasa wakiwa na watoto watano, alifunguliwa mashitaka ya kudhuru mwili.

Source: Global Publishers

Tuesday, October 23, 2012

Hii ni ya mwisho kuweka tuliyofundwa jumapili ukitamani kujuwa zaidi MUNGU akipenda tukutane tena tarehe 16/12/2012..

 Handkerchief ni kitambaa muhimu sana ambacho kila mwanadamu anatakiwa awe nacho kina matumizi mengi sana na kila mtu anakitumia kwa jinsi atakavyo yeye, leo nitawafundisha kukitumia nyumbani kwetu.

Sijui nyie ila kwa wale ambao wanaishi sehemu ambayo haikauki wageni hii itawafaa sana kama mimi kwangu uswahilini hodi haziishi kwakuwa watu wanataka msaada kwako na kama MUNGU amekubariki kuwa nacho ni vyema ukawasaidia na wengine japo kwa mawazo na kuwafariji tu.

Sasa basi handkerchief inatumikaje chumbani, mnapokuwa manataka kuingia kwenye mzunguko kama nilivyowaambia mwanzo usikose kibeseni kidogo chenye maji, na khanga pia usikose handkerchief mara tu mnapomaliza mzunguko ukasikia hodi unafanyaje na wote tunajuwa kwamba baada ya muda shahawa hushuka chini kama hujajitawaza vizuri na utajitawaza saa ngapi na umeitwa unamgeni? hapa ndio kitambaa kitakapotumika utachukuwa kitambaa choko ukikunje vizuri vaa chupi kiweke ndani kama pedi nenda kamauone mgeni wako hata kama shahawa zitatoka zitakuwa zinamwagikia kitambaa kwahiyo haziwezi kukuumbua kushaka mpaka miguuni kama umejikojolea inakukinga na aibu sio mtaa mzima wajue umetoka kuzungushwa hilo ni jambo la siri..

Chezea siye..

 Hii ni kati ya style tulizofundwa juzi za kula raha lakini pale alikuwa amevaa nguo nakudokeza tu kidogo jinsi tarehe 16/12/2012 itakavyokuwa mambo waaaziiiii moja hadi moja unaonyeshwa chezea kufundwa.

Nilionya mwanzo kwa wenye aibu wasije wakaja watu wazima wenye kutaka kujifunza na wakaelewa sasa basi na hii nasema mwenye aibu ASIJE maana haimfai na kama unahisi wewe ni mtoto pia lala nyumbani huku tunataka watu wazima wenye kuhimili raha na maumivu ya kiuno.

Tukutane tena MUNGU akipenda mwezi wa kumi na mbili.

Mama Mkwe weeee...

Natumai mzima da rose, mi ni mwanamke nimeolewa na ndoa yangu nw inamiezi kumi yaan ni uvumilivu ndo ulinifanya nifikishe hyo miezi,mamkwe wangu na wifi yangu kila kukicha wanamwambia maneno mume wng mara mkeo hakufai,kuna kipindi tulienda dar kikaz kama wik 2 tukafikia kwake basi ikifika mida ya mwanae kurudi ananuna na akifika anamwambia maneno basi mume wng ananiita mbele yake ananisema ye ndo anafurahi,kuna siku tulikuwa tunataka kutoka out mume wng nilimuandalia mchemsho wa samak sasa m na yeye tumeshazoea ye huwa anakula kichwa m mkia sasa m nikaenda chumbani mara moja yaan mamkwe akamwambia haiwezekan ye ale kichwa yaan nilichambwa hatar yaan kwa hasira out yenyewe sikwenda ,kesho yake mume wng hakwenda kazin akaenda mjin akaniletea BB na kunitoa out kama samahani, tulivyorudi yule bibi kuiona akamwambia mwanae anachezea hela yaan mume wng alimchamba na akamwambia asiingilie ndoa yetu tena lakin hakomi, kuna siku alikuwa anamwambia wifi yangu kuwa alimwambia mwanae acnioe hakuckia sasa atanikomesha ntaondoka mwenyewe,ebu nishaurin mana c tunakaa mkoani lakin kila cku cm haziishi kwa mwanae kumpa maneno.

SOMO...

wanawake wengi sana tunapenda kutumia udi mimi nikiwa mmoja wapo na katika kutumia udi kuna vichotezo vya aina mbili vya bati na vya udongo tunashauriwa sana kama unamtindo wa kujifukiza udi kila siku utumie cha udongo na sio kila siku unajifukiza kwa bibi moja kwa moja.

Unapotaka kukutana na mumeo ndio ukajifukize kwa bibi tena kutumia chotezo cha udongo maana ukiwa unajifukiza mara kwa mara kwa bibi na chotezo cha chuma wanasema kinavyozidi kuungua na kuingia ndani mwako kina uwezo wa kusababisha saratani kile chuma kinavyochoma mara kwa mara ndio maana wanashauri kama unapenda sana udi jifukize na vya udongo.

Napia kama unataka kujifukiza udi na sio kwa kwenda kufanya mapenzi basi vaa nguo zako na ya ndani ikiwemo chukuwa choteco weka udi wako jifukize ukiwa umevaa nguo pamoja na ya ndani, na kumalizia usiache kufukiza nyumba yako haswa chumbani kwako maana pale ndipo unapomalizia uchovu wako wa siku nzima.

SOMO..

Wanawake haswa wewe uliye kwenye ndoa nataka uelewe jambo moja katika usafi wa mwili wa mumeo na labda umuelekeze na yeye maana kuna wanaume jamani wakivua nguo zao za ndani wanatoa harufu yani wananuka, wao wanaume kuoga ni mara moja tu na huwahi kusaka hela kwahiyo siku hiyo moja kama ni jumapili au jumamosi yupo nyumbani ni wajibu wako wewe mama kumueleza, kumuelekeza au hata kumchukuwa mumeo kwenda naye kuoga ili uweze kumsugua vyema.

Katika mwili wa mwanume kuna vile vigololi viwili chini ya uume (napunguza ukali wa maneno nazani mtanielewa maana hii ni blog ya jamii na jamii lazima iheshimike) na vigololi vile kwakuwa vinakuwa ndani ya chupi na suruali vikipata joto vinatoa jasho na mafuta meupe ambayo mpaka uyachunguze ndio unaweza kuyaona sasa yale ndio yanayofanya mwanamme anuke kama hajioshi vizuri na ndio maana mwanaume akitoa nguo yake ya ndani yani unaweza sikia harufu kali sana ndio hivyohivyo kama sisi wanawake usipojisafisha vizuri kuna majimaji ndani yetu, ute na mikojo inayosalia ambayo intakufanya unuke vibaya sana kama shombo.

Kama ulikuwa unajiuliza ni kwanini huyu dada ama huyu kaka hunuka basi hio ndio sababu na dawa yake ni usafi tu.


Monday, October 22, 2012

Chezea Reserve Group wewe..

 

 Jamani siku hiyo hakukuwa na kupiga picha tulikatazwa na kungwi kwahiyo hizi mbili tulipiga mwishoni shughuli ilivyoisha tulinogaje sasa na mdira yetu..hili ni kundi letu la wadada la reserve ndani ya facebook sisi huwa pamoja kwenye shida na raha hatuachane ng'o kama Tv na Antenna na wenyewe tulikuwepo kufundwa sisi tunajiamini bana kila idara tupo ng'aring'ari kwanza umeona sare zetu zinavyotunogesha sasa upate picha ukumbi mzima ulikuwaje yaani watu walipendeza jamani.

Kusingwa...

Ndoa ina raha jamani haswa ukijuwa kuishi vyema katika ndoa na ukijuwa kumtunza vyema mwenzi wako katika ndoa jamani wanawake katika ndoa kuna kusingwa unajuwa kumsinga mumeo kama hukufahamu chukuwa hilo..

Unashauriwa mwanamke kutokosa mkeka nyumbani kwako, na kama mnakumbuka kuna wakati niliwashauri wanawake humu jamani ndani kwenu msikose mikeka jamani nawakumbusha tena mikeka inatumikaje.

Mumeo ni vyema kumsinga kwa wiki mara moja ama mara moja kila wiki mbili inategema na muda gani mumeo yupo nyumbani, utamsingaje kusingwa ni kufanyiwa scrub kwa kizungu utafanyaje sasa, weekend moja chukuwa mkeka wako chumbanai weka mto wako pale tayarisha na makorombwezo yote ya kusingia mlaze kijana pale usiache khanga akiwa amevua nguo zote msinge mwili mzima, akiwa amerelax chukuwa wembe wako ama chochote unachotumia kunyolea mnyoe mumeo makwapani na huko kwa babu.

Wanawake katikati ya kumnyoa mumeo ikatokea babu kasimama usimgandamize kisa unataka kummalizia kumnyoa kwanza hapana utamuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio, baba akisimamama mpe bibi yake mpeee weee mpaka atakapotosheka akitosheka malizia ile ya khanga niliyowaambia mwanzo halafu endelea kumnyoa mpaka mwisho na kama mtapenda na yeye akusinge basi rukhsa mkimaliza muinue baba akaoge apendeze muachie anede kwenye mizunguko yake utasikia sifa zako mitaani. Mwanaume haishi kuwa nyororo huwezi kukuta chunusi hata moja ikizagaa ovyoovyo kwake.

Mwanamke khanga kitenge umbea...

Unaambiwa mwanamke khanga kitenge umbea khanga laini haichubui shoga kitenge kigumu kinachubua unalijuwa hilo..shaurilo.

Wanawake hivi hizo khanga mnazonunua matumizi yake mnayajuwa vizuri? ama utakuta kwenye kitchen party mwali katunzwa khanga kibao matumizi yake mnayajuwa manaelezwa vyema kama hukujuwa chukuwa hilo..

Khanga ndio maana ina pc mbili ukishaipinda ukiwa nyumbani na mumeo mmejisikia kuchuma tunda mwanamke ingia chumbani andaa chumba chako tayari kwa majamboz, tena miye nakushauri kama mumeo unampenda sana hutaki kumpa shida ya kuinukainuka baada ya mchoko wa mzunguko ukiwa unaanda chumba usikose kibeseni kidodo ama kindoo  kidogo cha chumbani.

Kila mwanamke mwenye kuelewa uwanamke lazima chumbani kwako utakuwa na kindoo kidogo cha bafuni hiki hutumika kwa kazi mbili jamani, kwanza kufulia chupi za mumeo, ndio mwanamke lazima ufue chupi za mumeo hilo ni jukumu mwanaume kupendeza na kuvutia mpaka atamaniwe nje unadhani anataka maneno mwanaume anataka matendo anataka kutunzwa bibi.

Basi kile kindoo kinatumika kufulia chupi za mumeo kama umeshazifua unakiosha vizuri cha matumizi ya usiku ukiwa unaandaa unatia maji kwenye kile kindoo ama kibeseni chako huku pembeni mwa kitana umeweka khanga zako tik tik tak tak mnachuma tunda kwa raha na mapenzi tele, wote mkishafika kileleni baba anakuwa amechoka jamani basi wewe mwanamke utachukuwa upinde mmoja wa khanga utauweka pale kwa bibi huku umebana miguu ili zile shahawa zishukie mule baada ya kujiwekea wewe utachukuwa upinde mwengine wa khanga chovya kwenye maji yako muoshe mumeo vizuri atakate tena wakati unamuosha unamwambia pole mume wangu na ahsante kwa kunifikisha kileleni.

Yule mtu mzima kumuosha uume wake dhahama jamani sio kitu cha mchezo lazima umpe pole na samahani nakuosha mume wangu, ukimaliza mtwange busu muache apumzike baba wa watu ajenge mwili unadhani mwili unajengwa na tofali usione mume wa mtu kapendeza ukamtolea macho kujigongesha aku.....shoga anagharamiwa huyo..na mwanamke aliyefundwa ndio anaweza bibi kufanya hayo wewe ulikuwa unayajuwa hujafundwa ndio maana tunaandaa vitu kama hivi wanawake unashauriwa kuja ujifunze jamani kulea ndoa sio mchezo kila mtu angekuwa nayo.

Utamu wa biringanya maganda yake...

 Shoga unaambiwa siku hizi wanaume zetu hawa nguvu za kiume hawana, wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kwamba wame zao kila muda unapoendelea wanakosa nguvu za kuhimili mzunguko, kama mwanzo alikuwa anakupa mara tatu usiku mzima sasa anatoa mara mbili ama hata mara moja.

Sasa basi tukaambiwa biringanya ni dawa kubwa sana katika kusaidia wanaume kuongeza nguvu zao utaitumiaje sasa, nunua biringanya lako ukiwa na asali na mdalasini wako kwako yani hivi vitu visikae kukosa ndani kwako ukiwa kama mama mwenye nyumba.

Nitakufundisha njia mbili za kutumia biringanya hizi, kwanza chukuwa biringanya zako zionshe vizuri usimenye maganda katakata kwa style unayopenda wewe chukuwa sufuria yako bandika jikoni tia biringanya zako uzigeuze geuze kwenye sufuria yako yenye mafuta zisiunguwe kidogo tu ukiona zimelainika zitoe tenga pembeni, pika chakula chako na unashauriwa kama umepika ugali wako kaanga na kuku wako pale pembeni unamchuzi wako wa kuchomvea na huku unakisosi cha biringanya muruwa ugali ushuke salama  hivi ni kwa wale wanaoshindwa kula biringanya kama lenyewe bila kushushia kitu.

Njia ya pili osha biringanya zako ziache pembeni zikauke maji zikiwa tayari tia kwenye blenda saga zisage mpaka ziwe unga kabisa chukuwa kidogo kwenye kikombe changanya na mdalasini na asali mpe mpenzio anywe na wewe chukuwa kikombe chengine piga cheers kunyweni baada ya dakikaa kadhaa majibu yake mtayamalizia chumbani na utauona utofauti.

Pipi ulijuwa ya kumumunya tu...

 Hehe heiya jamani kwa wale mliokosa jana poleni najuwa labda ni majukumu ya hapa na pale ama wengine mpo mbali na wengine pia hela tu zilibana lakini naamini MUNGU akipenda mtajumuika nasi tena wakati mwengine nitajaribu kuwaekea somo mbili tatu za jana muelewe na nyie zaidi.

Katika somo la jana tulifundishwa matumizi mengine ya pipi haswa hizi za kifua, unaambiwa pipi za kifua bibi ni dawa ya mume ya kumpa raha, sasa wewe kujifanya pipi za watoto tu shoga yangu hapa mjini kuna habari mpya shoga ile pipi ni muhimu isikose nyumbani kwako.

Ukiwa mwenye hamu kwamba unataka siku hiyo ukutane na mwenzio shoga nenda kaoge, jitawaze vizuri maana siunaelewa mwanamke unaringa nje ukifunuliwa chini unanuka shombo kaa samaki...hehe heiya ndio siye babu tulivyooumbwa na kujisafisha tunaweza..chezea siye

Wakati unajiandaa, utaoga ujitawaze vizuri sana huko kwa bibi halafu ukishakuwa umejifuta unajiandaa sasa kwenda kitandani ili ukachume tunda chutama vizuri miguu ikiwa umeitanua tia ile pipi yako ya kifua ukeni , kaa muda kidogo muite mzee akupe maraha tena ukimsihi kwa mahaba mpenzi leo huku bwana..basi kijana wa watu huku anakupa maraha huku anapata raha yake ya mdomo kwa ule utamu wa pipi walahi atanyonya mpaka iishe basi wee mpaka amelize utamu wa pipi ushafika kileleni mara ngapi sijui..hehe heiya

Eeenhee aka mwenzangu mapenzi kila mtu aone utamu sio yeye anyonye tu huko, apige chafya ukimletea pumu mtoto wa watu inahusu, raha anyonye kusafi, kunanukia na kutamu.


Sunday, October 21, 2012

Kweli kikulacho..

Jamani wanawake hapana aisee, kweli unaambiwa duniani hapa usimuamini mtu bali MUNGU wako pekee nashangaa miye siwezi hata kidogo yani mwanamke mzima unamla shemeji yo inahusu jamani unajuwa kabisa yule mwanamke wa dada yako na wamezaa halafu wewe unajipitisha unajitongozesha mpaka unaliwa, utakuwa unagundu wewe ndio maana huna wa kwako mpaka umchukuwe wa mwenzako kama unajiona mzuri si ungepata wako wa nini wa mwenzio haipendezi.

Mwanamke kujiamini bwana sio unakazi na kukaa kwako unajiita unajiamini huku unakula mume au mwanaume wa mtu kujiamini ufanye vyote hivyo na uwe na wako wa kukuweka ndani ndio tutakuona kweli wewe mwanamke, mwanamke kudandia wa watu hukujuzwa wewe kujitunza na kutafuta wako..LAKO HILO kama linakuhusu.

Kuna rafiki yangu kila mara penzi lake linatingishwa kila tukilifanya jioni lazima alisikie kwa baba mtoto wake, katika urafiki wetu pia yupo mdogo wake mtoto wa mama yake mdogo kumbe yule shoga siku nyingi alikuwa anamtamani shemeji yake anammezea mate!!!! mwanamke kila kimuona kijana chini kashaloa, akawa anatafuta sababu ya kumuharibia ndugu yake ili ampate yeye, ndio visa vikaanza kila atakalotuhadithia rafiki yake jioni lazima alikute kwa baba mtoto wake mazuri hayapelekwi mabaya tu ndio shoga anamfikishia shemeji yake..

Wanaume mwanamke bwana kama wewe unamuona wa nini kuna mwenzio anawaza atampata lini sasa jishauwe kujiona wewe ndio wewe utaisoma junejuly, basi kunakipindi dada wa watu kapendwa na mkaka mmoja mwenye hela zake za kutoa shoo (nadhani mnajuwa kutoa shoo ni nini) kamuita siku hiyo akamwambia tukutane bar fulani njoo na rafiki zako ukitaka, shoga dada yako nami nikabebwa hao safari tukambeba na yule mdogo wake sasa..kumbe ndio alipojichinja

Shoga siye tumeenda tumekunywaaaaaaa,tumekulaaaaa yule kaka sianamtaka shoga yangu kakaa naye karibu wanaongea na yule kaka alikuwa na marafiki zake wawili lakini sio wa kwetu ni kuchangamsha kijiwe tu, basi mida ikafika tukaondoka shoga tulivyoondoka tu akamfikishia shemeji yake mkanda mzima na yule baba mtoto wake alibyokuwa hana uvumilivu akampigia mwanamke wake na kugombana  na vituko vyengine vingi tu yule dada mpaka akalipata lake nakuanza kuliwa na shemeji yake sasa.

Mapenzi yakanoga, yule ndugu mtu anakaa kwetu mabibo, shoga yangu anakaa sinza madukani na baba mtoto wake anakaa ubungo, sijui alichomfanyia nini mpaka ndugu mtu akamuamishia yule bwana mabibo na wakaendeleza mapenzi mpaka akabeba mimba!!!!!!!! sawa umeamua kumlia dada yake bwanaake na mimba ndio ukajibebeshe inahusu!!!!

Shoga ndio baadaye anakuja kumwambia ndugu yake kwamba yeye mke mwenziye na anamimba ya baba mtoto wake, yule rafiki yangu ndio kuchanganyikiwa na kuanza kutukanana na kupigana na ndugu yake basi shoga yangu mpaka leo kachanganyikiwa anajifungia tu ndani hataki kutoka nje yaani amechanganyikiwa tumeshaongea naye kwamba unapodondoka kwenye maisha unakikung'uta vumbi na kuendelea na masiha lakini huyu naona kama ngumu kuelewa bado naona anataka kujipa moyo labda yule baba mtoto wake atarudi kama zamani na wakati kule kwa mdogo wake pia mapenzi motomoto.

Ndugu na ukoo wamemtenga yule ndugu mtu kwa kosa alilomfanyia mwenziye..je kama ni wewe ndio umetendwa ungefanyaje? na unamshauri nini huyu dada maana hajiwezi kabisa..

Friday, October 5, 2012

Msisitizo...

Wapendwa nasisitiza tena hii shughuli tunayoifanya kama wewe unahisi unajambo unataka liongelewe pale basi nitumie email ama message, narudia hii sio kitchen party ya kufundishwa maisha kwa mafumbo humu tunafundwa kwa uwazi na maneno yanatajwa kama yalivyo hakuna mafumbo wala aibu kwahiyo narudia kama wewe ni wa aibu jiandae na kama wewe ni mtoto usije sisi tunataka waliokomaa na wenye kuhimili mambo..

Hakutakuwa na picha wala video yanayofanywa humo yanaachwa humo.

Wednesday, October 3, 2012

Umetunzwa nawe tunza mtoto wa mwanamke mwenzio...


Hehe heiya...unaambiwa ukishikwa shikamana upo hapo, haya sasa wanawake siku yenu imefika jamani mapenzi ya siku hizi yamekuwa balaa sio ndani ya ndoa ama mapenzi tu yabila ndoa, unajuwa mwanaume wako anataka nini wewe, kuwa juu kama puvu la bia unaelewa??? haya sasa siku moja ya kufunda wadada wote maswala ya chumbani, kuchuma tunda, kuhusu mwili wako kumpa raha mpenzio na kuufahamu mwili wake zaidi ya kuuona tu, chachandu za kuchuma tunda, nini na maana ya uchomwaji udi yote haya yatakuwepo siku hiyo..makungwi hatari watakuwepo hata ikibidi na kuvua nguo kukuelewesha zaidi jamani kama unajijuwa mtoto usije, kama unaaibu iache mlangoni..kungu nazo zitatawala kwa sana tukiwa tumejifungia kwenye chumba hakuna wanaume, hakuna picha maana ni hekaheka za utu uzima..sehemu itakayofanyika na mengine yote nitawataarifu mara kwa mara.. karibuni wadada wote..

SHUGHULI NI  21/10/2012  kaa mkao wa kula.. 


Vazi la siku hiyo ni dira, mwanamke uvae ujimwaye mwaye maana rusha roho tu ndio zitatawala..hehe heiya chezea supu ya mboga lazima uinywe..


Kiingilio ni shs 30,000 utapata na dira (dira lako ambalo ndio sare yetu ndio ticket yako hakuna ticket), kutakuwa na snacks, uji wa kungu, uji wa nazi,soda na maji kama wewe ni mlevi beba ulevi wako uje kukupa raha..hehe heiya



Karibu wewe, mwambie wifi yako, na shosti wako unaambiwa uzuri wa mwanamke kujiamini..



Naomba mtakaolipa mfanye hima kabla ya tarehe 19/10/2012 ili muwe na madira yenu, malipo ya fanyike kwa tigo pesa 0717 019320, au unipigie tukutane na BBM Pin yangu ni 23A0C2B4



Jamani narudia tena kama wewe mtoto mdogo ya kubwa haya hayakufai, na kama unaaibu iache mlangoni pa nyumbani kwako..huku mlipuko tu

Mambo ya Kuzungumza na Mchumba Kabla ya Ndoa..


Baada ya kuvishwana pete ya uchumba, wasichana wengi huona kwamba kilichoko mbele yao ni kupanga harusi tu. Hujishughulisha kwa hali na mali kuhakikisha harusi inakuwa sawa na ile anayoiwaza siku zote, na kusahau kuwa baada ya harusi kuna maisha ambayo ndiyo haswa yanayopaswa kupangiliwa kwa umakini. Baadaye wanajikuta wameingia kwenye ndoa huku mambo mengi yakiwa hewani na hivyo kupelekea migogoro isiyoyalazima mara tu baada ya ndoa.
Kuna mambo muhimu sana ambayo wachumba wanapaswa wayaongelee na kufikia muafaka kabla ya kuunganika na kuwa mwili mmoja. Yanaonekana ya kawaida sana lakini yanaweza kuleta msuguano na kuharibu kabisa furaha ya ndoa. Tuyaangalie kwa uchache:
1. Mahali pa kuabudu.
Binti anaabudu katika kanisa kubwa na ndiye kiongozi wa sifa na muongozaji wa nyimbo karibia zote za kwaya, na kijana anaabudu kwenye kanisa dogo linaloanza na ndiye mwenyekiti wa vijana na mwalimu wa shule ya jumapili. Hapa nani anamfuata nani? Bila kukaa chini na kujadiliana kwa pamoja jambo hili linaweza kuleta mvutano. Ni vyema mkaangalia kwa mapana na marefu option zote kisha kwa pamoja mfikia muafaka kulingana na huduma ya kila mmoja wenu.

2. Jinsi ya Kuishi
Waafrika ni kawaida yetu kuishi pamoja na ndugu zetu na kusaidiana katika mambo mbalimbali ya maisha. Sio jambo geni kumkuta kijana au msichana anaishi na wadogo zake na kuwasomesha. Linapokuja suala la ndoa ni vyema jambo hili likawekwa sawa mapema. Je mtaweza kuishi na ndugu wangapi? Na wa upande upi na kwa kigezo gani? Je wataanza kuishi nanyi muda gani baada ya kuoana? Pale tu mtakapooana au lini? Hili si jambo dogo na linaweza kuharibu amani kabisa ndani ya nyumba. Ni vyema mkaliweka sawa mapema na wale mnaoishi nao wajue hawaishi tena na kaka au dada bali Mr & Mrs hivyo heshima iwe kwa wote. Pia sishauri kuishi nao mara tu baadavya kuoana, ni bora wakaenda kwa ndugu wengine angalau mwezi mmoja wa kwanza muweze kuwa na wakati wenu wa faragha wa kufahamiana vizuri na kuizoea nyumba yenu mkiwa wenyewe.

3. Mapato na Matumizi
Hili ni eneo nyeti sana. Wasichana wengine wanapoolewa huambiwa kuwa ‘usimwambie mumeo unapata kiasi gani na uwe na akaunti yako ya siri.’ Mmh hapa pana tatizo, maana nijuavyo mimi mwili mmoja ni katika kila idara, hamna siri. Sasa wewe ukificha na mwenzio akaficha, kuna maendeleo kweli hapo? Ni muhimu sana kwa wachumba kukaa na kupanga jinsi ya kuyatumia mapato yenu mtakapooana. Muwe wawazi kila mmoja anachokipata na muainishe matumizi yenu na kuangalia ni kwa jinsi gani mtaweza kuyafanikisha.

Baada ya kuoana, kila kitu kitakuwa ni chenu wote. Kama ulikuwa na nyumba, gari, viwanja, shares, bank accounts n.k vyote vinakuwa mali ya familia, hivyo ni vyema mkaangalia hili mapema ili asije mmoja wenu akajenga nyumba kwa siri bila mwenzie kujua. Pia muangalie ni ndugu gani wanahitaji msaada kifedha na jinsi gani mtaendelea kuwasaidia, mfano ada, matibabu, n.k. Hapa panahitaji hekima kubwa sanabya kiMungu kuamua nani asaidiwe kulingana na kipato chenu kwa wakati huo. Maana ndugu wa kuhitaji msaada wenu watakuwa ni wengi kuliko uwezo wenu. Hapa ndipo mstari wa mithali 14:1 unapoleta maana.
Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

4. Mipango ya Mbeleni
Shule, ujenzi, kuanzisha familia, kufungua biashara, kuanzisha huduma n.k yote haya yanahitaji kuzungumziwa mapema na kuwekewa misingi. Mfano wewe unahitaji baada tu ya ndoa utafute scholarship ukasome ulaya wakati mwenzio akifunga macho tu anajiona anaitwa baba, hapo lazima shida itatokea. Lazima mjue vipaumbele vyenu kama familia ni nini. Mkishafahamu hilo ni rahisi kujua muanzie wapi na wakati gani. Mume hawezi tu kuamka asubuhi na kusema anaacha kazi na kuanzisha kanisa, sasa familia itakula wapi? Ni lazima mkae chini mpange mjue mume akiacha kazi familia itaishije, mke je atakuwa tayari kubeba majukumu yote?

Mwisho huu ndio wakati muafaka kumweleza mwenzio kama uliwahi kuchumbiwa hadi kutolewa mahari lakini mambo yakaharibika. Pia kama unamtoto ni lazima narudia LAZIMA umweleze mwenzi wako. Usiingie kwenye ndoa na siri yoyote, itakuwa ni bomu la kuwasambaratisha.
Nakutakia ndoa njema yenye baraka, amani na furaha tele.
Source: Women of Christ

Tuesday, October 2, 2012

SOMO...

Somo langu la leo liwaendee wanawake wote wajawazito uwe ndani ya ndoa ama nje ya ndoa, hivi mwanamke inahusu nini kisa mjamzito kumnyima mumeo unyumba????? ulivyokuwa unaitafuta hiyo mimba mbona ulikuwa unampa mara kwa mara hata kama akikwambia kachoka wewe unataka basi amani hamna hapo ilimradi tu upate, sasa leo umepata ukiombwa wewe hutaki unasema mimba inakufanya ujisikie vibaya mpaka umsumbuwe kaka wa watu wee ndio unaona raha au unadhani pakumalizia shida zake unayo wewe tu kila mwanamke unayemuona barabarani anayo shoga kukuweka ndani na kuitaka yako muda wote ni jambo la heshima sasa kwanini ujishushie heshima yako kwa yeye kutaka nje kisa wewe unamnyima..allaaaah haiendi hivyo tena ni aibi kubwa sana mwanaume kutoka nje ya ndoa kisa wewe unamnyima unyumb..hukufundwa wewe..

Tena wanawake wengine wakiwa wajawazito akishamuona mumewe kaja ndio mdomo atauvuta umepida kama kisu cha kuparuria ndizi inahusu, kisa cha kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio ni nini???? kwani yeye kwa kukuoa wewe alikuwa anataka kufuliwa maana madobi wapo tele, kama alitaka chakula shoga hata kwa mama ntilie angeshiba, mwanaume anataka kutunzwa anataka apewe mambo kwani huko barabarani kaona wanawake wangapi mpaka akuweke wewe ndani na umzalie watoto au unaona kizazi unacho weye tu jamani wanawake haipendezi..

Wewe baba uliyenitumia hii endelea kumbembeleza mkeo, labda kwa upande mwengine unajuwa kuna mimba nyengine bwana zinavituko kama zilikuwa zimetungwa watu wakichuchumaaa yani mimba utakuta inamchukua baba mwenye nyumba mpaka kero, yani wewe heri ulale nje kuliko kurudi nyumbani yani mkeo akikuona anataka kufa, kwahiyo usichukulie tu mambo kirahisi maana simpaka mmempima mkakuta hana tatizo zaidi ya mimba basi labda kati ya zile mimba zinazomchukia baba na hiyo moja wapo. lakini kutoka nje ya ndoa sio tatizo endelea tu kwa mapenzi tele kumuomba mkeo atakupa tu ila mvumilie sana..

Siku yetu ya kufundwa tarehe 21/10/2012 pia tutafundwa jinsi ya kuchuma tunda ukiwa mjamzito ningekushauri mkeo aje pia ili akiona pale aweze kujifunza na kukupa raha unayostahili..

Jamani hii ni kufundishana mambo yaliyopo mwanamke ndoa bwana mwanamke nyumba sio kuta tuu zimesimama na wewe ukajiita mama mwenye nyumba...hehe heiya unaujuwa umama mwenye nyumba wewe kama hukujuwa njoo tukujuze shosti...

Monday, October 1, 2012

Msaada Tutani....


hujambo? asante kwa kunipa huu muda mimi na miaka 30 niko na kilo 80 swali langu ni  kwamba ninapo yanya mapenzi na bibi yangu wakati tuko kwa kitendo mimi huchoka sana na kuhema ilihali bibi hani saidii chochote hata mwishowe hubaki bila kushusha manii. basi kutaka manii yatoke hupiga punyeto .jenifanyeje? ili nitoe shahawa kwa bibi? nihayo tuu wako sammy.

Angalizo...

 Jamani sisi kama wazazi hivi tunakuwaga na muda kweli wa kuaangalia watoto wetu hata mara moja kwa wiki ipasavyo? ukiangalia na hivi tunavyobanwa na majukumu kazini na sehemu za kutafutia tonge..

Nyumba nyingi sana siku hizi zinawasichana wa kazi, lakini sio wasichana wote wapo makini kwa watoto ni asilimia chache tu, je wewe kama mama umeshawahi ukiwa nyumbani hata kama ni siku moja tu ya wiki kumchunguza mtoto wako awe wa kike ama wakiume, umeshawahi kumuangalia maumbile yake kama ni mzima au vipi kwa nini ninasema haya;

Jana uswahilini kwetu kumetokea jambo ambalo limenisikitisha na kuniuma sana, kijana mmoja ambaye yupo form one amekamatwa kwamba anatabia za kulawiti watoto, sasa hivi alimfanyizia mtoto wa miaka minne!!!!!!!!! baada ya mama yake jana jumapili kuwa nyumbani na kukaa karibu na mtoto wake wa kike nakugundua anatoa harufu mbaya huko kwa bibi.

Baada ya kuona hivyo akaamua kumuita mwanaye chumbani na kumvua nguo na kumwambia alale kwenye kitanda baada ya kumchunguza akagundua anatokwa na uchafu mwingi huko chini na pamechezewa ndio mama kushtuka na kumuuliza mtoto kwa upole ili mtoto asiogope na kushindwa kumjibu, basi yule mtoto akamtaja kwamba yule ananifanyiaga hivi!!!!

Basi ndio yule mama kupagawa kwenda kwa yule mtoto kwakuwa ni jirani kumbana kweli na kwa vitisho ndio yule mtoto kukubali na kuanza kulia akiomba msamaha, yule mama wa mtoto wa kike hakutaka kuelewa hayo akambeba pamoja na mama yake mpaka polisi ambako alikaa huko mpaka jioni ndio ndugu zake yule mtoto wa kiume kwenda kuomba radhi na kumbembeleza sana yule mama amsamehe na kumtoa kijana wao.

Baada ya muda mrefu sana wa kuvutana huku na huko baadaye yule mama akakubali kumsamehe mbele ya mjumbe wa nyumba kumi na kumwambia kwamba ahame mtaa na kila mzazi mtaani hapo akakubaliana na hilo swala kwamba yule mama na mwanaye wahame.

Inauma sana sasa hapa afadhali mtoto alikuwa anajuwa kuzungumza je kwa watoto ambao hawawezi kuzungumza vizuri, sio wa kike tu siku hizi hata wanaume hufanyiwa hivyo..jamani tuwe makini tusikimbize sana tonge tukasahau majukumu yetu kwa watoto wetu.


Shindalo la Uchoraji Kwa Taasisi za Kielimu

Image Profession ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa mara nyingine inatangaza kuanza kwa muhula mpya wa pili wa Shindano ya Uchoraji maalumu kwa Taasisi za elimu.

Shindano ambalo pia linajulikana Kama: Educational Drawing Competition au Image Profession Educational Drawing Competition, lina malengo ya kuibua vipaji katika fani ya uchoraji kwa kuzingatia uwekezaji kwa watoto na vijana.

Theme/Wazo kuu la mwaka huu: ART IMITATES LIFE au SANAA HUFUATISHA MAISHA
Makundi ya ushiriki
´ Chekechea,
´ Elimu ya Msingi,
´ Elimu ya Sekondari na  
´ Elimu  ya Juu

Kwa maelezo na taratibu za Shindano tembelea Facebook Page/Group “Tanzania Drawing Competition” au wasiliana na BASATA au
DRAWING COMPETITION – IMAGE PROFESSION,
P O BOX 92 DAR ES SALAAM.
SIMU: +255 222 664 740 / +255 713 484 040
/ +255 714 676 217 / +255 716 430 084
EMAIL: info@imageprofession.com